-
Rais wa Tunisia akosolewa kwa kuandaa bajeti bila kumshirikisha yeyote
Jan 15, 2022 07:39Muungano wa Wafanyakazi Tunisia (UGTT) umemkosoa vikali Rais Kais Saied wa nchi hiyo, kwa kutwaa mamlaka yote ya nchi, na kuandaa bajeti ya nchi yeye binafsi pasi na kuzishirikisha taasisi nyingine husika.
-
Spika wa Bunge, Mawaziri Wakuu wa zamani wa Tunisia kupandishwa kizimbani
Jan 07, 2022 23:19Spika wa bunge lililovunjwa la Tunisia na Mawaziri Wakuu wa zamani wa nchi hiyo watafikishwa kizimbani kwa tuhuma za kukiuka sheria za kampeni za kisiasa na kutobainisha vyanzo vya fedha zao wakati wa kampeni za uchaguzi.
-
Ahadi ya Marekani ya kuilinda Ukraine
Jan 03, 2022 23:15Jumapili iliyopita Rais wa Marekani Joe Biden alizungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelinsky, na kujadili jinsi Marekani na washirika wake watakavyojibu shambulio lolote la kijeshi la Russia dhidi ya nchi hiyo.
-
Raisi: Nabii Isa AS, nembo ya muqawama dhidi ya madhalimu
Jan 01, 2022 09:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaja Nabii Isa Masih (AS) kuwa ni nembo ya mapambano dhidi ya madhalimu.
-
Indhari kuhusu kurejea udikteta huko Tunisia
Dec 30, 2021 08:06Rached Ghannouchi Spika wa Bunge lililosimamishwa la Tunisia amezitaja hatua na maamuzi yanayochukuliwa na Rais wa nchi hiyo, Kais Saied kuwa ni sawa ni kuhuisha tajiriba iliyofeli na kueleza kuwa, Tunisia inaelekea katika mkondo wa kurejea kwenye udikteta na kutengwa.
-
Rais wa Iran kuitembelea Russia kufuatia mwaliko wa Putin
Dec 29, 2021 04:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anatazamiwa kuitembelea Russia mapema mwaka ujao 2022, kufuatia mwaliko wa mwenzake wa nchi hiyo, Vladimir Putin.
-
Rais wa Gambia awataka wapinzani waheshimu uamuzi wa mahakama
Dec 29, 2021 04:14Rais Adama Barrow wa Gambia ametoa mwito kwa upinzani nchini humo kukubali na kuheshimu uamuzi wa jana Jumanne wa Mahakama ya Juu ya nchi hiyo wa kutupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyompa ushindi kiongozi huyo.
-
Rais wa Lebanon: Tunahitaji miaka 7 kutoka kwenye hali mbaya tuliyonayo sasa
Dec 25, 2021 07:39Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema, nchi hiyo inahitaji muda wa miaka sita hadi saba kutoka kwenye hali mbaya inayokabiliana nayo hivi sasa.
-
Rais wa zamani wa Tunisia ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kumpinga rais
Dec 23, 2021 03:42Mahakama ya Tunisia imemhukumu rais wa zamani wa nchi hiyo Mohamed Moncef Marzouki kifungo cha miaka minne jela.
-
Onyo la Rais wa Russia la kutoa jibu kijeshi kwa hatua za Marekani barani Ulaya
Dec 22, 2021 23:20Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi yake ina haki kamili ya kujihami dhidi ya hatua zisizo za kirafiki za Marekani na akabainisha kwamba Moscow itachukua hatua mwafaka za kijeshi na kiufundi juu ya suala hilo.