Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Rais Rouhani: Endapo Marekani itatekeleza ahadi zake, sisi pia tutafanya hivyo

    Rais Rouhani: Endapo Marekani itatekeleza ahadi zake, sisi pia tutafanya hivyo

    Mar 31, 2021 07:20

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo kutakuwa na azma imara na Marekani ikarejea katika mazingira ya kabla ya vikwazo, sisi pia siku hiyo hiyo tutaanza kutekeleza ahadi zetu.

  • Wakazi wa Kanda ya Ziwa Tanzania wamuaga Magufuli, Majaliwa asema ameacha alama kote nchini

    Wakazi wa Kanda ya Ziwa Tanzania wamuaga Magufuli, Majaliwa asema ameacha alama kote nchini

    Mar 24, 2021 09:54

    Wananchi wa Mwanza na mikoa jirani ya Kanda ya Ziwa nchini Tanzania wamejitokeza kwa wingi kwenye barabara na mitaa ya Mwanza kumuaga aliyekua Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli.

  • Madharau ya Biden dhidi ya Putin, na mzozo wa aina yake katika uhusiano wa Marekani na Russia

    Madharau ya Biden dhidi ya Putin, na mzozo wa aina yake katika uhusiano wa Marekani na Russia

    Mar 19, 2021 06:00

    Uhusiano wa Marekani na Russia tangu Rais Joe Biden aliposhika madaraka ya nchi katika White House mwezi Januari mwaka huu umekuwa ukidorora siku baada ya nyingine huku Washington ikiendelea kuzidisha misimamo ya kihasama na kiuadui dhidi ya Russia. Sasa makabiliano baina ya nchi hizo mbili yamefikia kiwango cha vita vya maneno baina ya marais wa nchi hizo.

  • Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania afariki dunia

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania afariki dunia

    Mar 17, 2021 23:43

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefariki dunia katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam ambako alikuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

  • Kushindwa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Kushindwa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Mar 17, 2021 23:16

    Baada ya serikali ya Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani kutangaza kujitoa rasmi katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA mnao Mei 2018, serikali hiyo ilianza kutekeleza vikwazo vikali zaidi katika historia ya nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika fremu ya mchakato wa kile kilichotajwa kuwa mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya nchi hii.

  • Somalia yazindua kampeni ya kitaifa ya utoaji chanjo ya Corona

    Somalia yazindua kampeni ya kitaifa ya utoaji chanjo ya Corona

    Mar 17, 2021 01:10

    Rais Mohamed Abdullahi Farmaajo wa Somalia hapo jana alipokea chanjo ya Corona ya shirika la AstraZeneca la Uingereza, kuashiria kuanza kwa kampeni ya kitaifa ya utoaji wa chanjo ya Corona katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Rouhani: Kufidia makosa yaliyofanywa na serikali iliyopita ya Marekani ni kwa manufaa ya wote

    Rouhani: Kufidia makosa yaliyofanywa na serikali iliyopita ya Marekani ni kwa manufaa ya wote

    Mar 16, 2021 09:01

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kufidia makosa yaliyofanywa na serikali iliyopita ya Marekani si kwa manufaa ya Iran tu bali ni kwa maslahi ya Marekani yenyewe , eneo na taasisi za kimataifa.

  • Kuvunjwa Bunge na mwanzo wa kipindi kipya cha kisiasa nchini Algeria

    Kuvunjwa Bunge na mwanzo wa kipindi kipya cha kisiasa nchini Algeria

    Feb 20, 2021 06:47

    Katika miaka ya karibuni Algeria imekumbwa na misukosuko na matukio mengi ya kisiasa. Tukio la karibuni kabisa nihatua ya Rais Abdelmadjid Tebboune wa nchi hiyo ya kulivunja Bunge na kuitisha uchaguzi wa mapema. Tebboune alitangaza hatua hiyo Alkhamisi iliyopita katika hotuba yake kwa taifa iliyotolewa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Shahidi.

  • Biden akiri, ubaguzi wa rangi unaendelea kuitafuna jamii ya Marekani

    Biden akiri, ubaguzi wa rangi unaendelea kuitafuna jamii ya Marekani

    Feb 19, 2021 04:38

    Ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa kimbari na ukatili dhidi ya watu weusi daima vimekuwa miongoni mwa sifa kuu za jamii ya Marekani tangu nchi hiyo ilipoasisiwa, na hadi sasa Wamarekani weusi wangali wanasumbuliwa na aina mbalimbali za ubaguzi na ukatili.

  • Hatua mpya ya chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa

    Hatua mpya ya chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa

    Feb 18, 2021 22:53

    Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na kushadidi mashinikizo dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa unaonekana kushtadi na kuchukua mkondo mpana zaidi katika miaka ya hivi karibuni katika nchi hiyo ya bara Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS