-
Biden akiri, ubaguzi wa rangi unaendelea kuitafuna jamii ya Marekani
Feb 19, 2021 04:38Ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa kimbari na ukatili dhidi ya watu weusi daima vimekuwa miongoni mwa sifa kuu za jamii ya Marekani tangu nchi hiyo ilipoasisiwa, na hadi sasa Wamarekani weusi wangali wanasumbuliwa na aina mbalimbali za ubaguzi na ukatili.
-
Hatua mpya ya chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa
Feb 18, 2021 22:53Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na kushadidi mashinikizo dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa unaonekana kushtadi na kuchukua mkondo mpana zaidi katika miaka ya hivi karibuni katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Rais Macron ashambuliwa kwa kutilia shaka chanjo ya corona
Jan 30, 2021 04:29Wabunge wahafidhina na wanasayansi wa Ulaya wamemjia juu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa kusema kuwa chanjo ya kukabiliana na corona ya shirika la AstraZeneca la Uingereza 'haifanyi kazi' kama ilivyotarajiwa.
-
Muamala wa Trump kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni
Dec 12, 2020 08:06Rais Donald Trump wa Marekani juzi Alhamisi alituma ujumbe katika ukurasa wake wa twitter na kueleza kuwa Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia.
-
Kukosolewa vikali madai ya kuwepo uhuru wa kujieleza nchini Ufaransa
Nov 15, 2020 23:03Mwenendo wa chuki na kukejeliwa itikadi za Waislamu nchini Ufaransa umeshika kasi katika miaka ya karibuni, na katika uwanja huo kuchapishwa tena na jarida la Charlie Hebdo, vikatuni vinamvyodhalilisha Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) kumewakasirisha sana Waislamu.
-
Kuuzuliwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani; pigo jingine kwa serikali inayotetereka ya Trump
Nov 10, 2020 23:07Rais Donald Trump wa Marekani ambaye alishika hatamu za uongozi wa nchi hiyo akitokea nje ya mzunguko wa kisiasa, katika uga wa timu yake ya uongozi pia amekuwa na utendaji wa ajabu na ambao haujazoeleka.
-
Kinara wa upinzani Ivory Coast akamatwa kwa kuunda serikali hasimu
Nov 07, 2020 08:17Kiongozi wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani wa Ivory Coast, Pascal Affi N’Guessan amekamatwa na vyombo vya usalama nchini humo kwa kuunda serikali hasimu, siku chache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) kumtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 31.
-
Rais Magufuli wa Tanzania aapishwa, atoa mwito wa ushirikiano
Nov 05, 2020 08:16Rais John Pombe Magufuli ameapishwa leo Alkhamisi kuhudumu muhula wa pili na wa mwisho wa kuiongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
-
Outtara (78) ashinda muhula tata wa tatu wa urais Ivory Coast kwa 94%
Nov 03, 2020 03:43Tume ya Uchaguzi ya Ivory Casot imemtangaza Rais wa sasa wa nchi hiyo, Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Jumamosi iliyopita.
-
Macron aendeleza vitendo vya kuuhujumu Uislamu; Trump aparamia mawimbi
Oct 30, 2020 23:08Kushtadi vitendo vya chuki na hujuma dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa vinavyokwenda sambamba na uungaji mkono wa Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron kwa kisingizio kutetea uhuru wa kusema na kujieleza kumekabiliwa na radiamali mbalimbali na kuifanya nchi hiyo kubwa ya Ulaya ikabiiwe na wimbi kubwa la hasira.