Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Hussein Mwinyi atangazwa mshindi urais wa visiwa vya Zanzibar, Magufuli aongoza katika uchaguzi wa rais wa Tanzania

    Hussein Mwinyi atangazwa mshindi urais wa visiwa vya Zanzibar, Magufuli aongoza katika uchaguzi wa rais wa Tanzania

    Oct 29, 2020 19:25

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dr. Hussein Mwinyi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais Mteule wa Zanzibar baada ya kupata ushindi wa kura 380,402 sawa na 76.27%. akifuatiwa na Maalim Seif Sharif Hamad wa chama cha ACT Wazalendo aliyepata kura 96,103 sawa na asilimia 19.87.

  • Kiongozi wa upinzani Ushelisheli ashinda urais baada ya kujaribu mara 6

    Kiongozi wa upinzani Ushelisheli ashinda urais baada ya kujaribu mara 6

    Oct 26, 2020 08:20

    Mgombea wa upinzani katika uchaguzi wa rais huko katika kisiwa cha Ushelisheli ameibuka mshindi baada ya kupata asilimia 54.9 ya kura zilizopigwa.

  • Mpwa wa Rais wa Tanzania atishia 'kummaliza' Tundu Lissu kwa sindano ya sumu

    Mpwa wa Rais wa Tanzania atishia 'kummaliza' Tundu Lissu kwa sindano ya sumu

    Oct 18, 2020 10:43

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM nchini Tanzania ametishia kumuua kwa kumdunga sindano ya sumu, mgombea urais wa nchi hiyo kwa tiketi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundu Lissu kwa kile alichosema kuendelea 'kuwajaza upepo' wafuasi wake ili waandamane.

  • Assad aikosoa Saudi Arabia kwa kushirikiana na magaidi nchini Syria

    Assad aikosoa Saudi Arabia kwa kushirikiana na magaidi nchini Syria

    Oct 06, 2020 07:48

    Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa misaada na himaya kubwa ya Saudi Arabia kwa makundi ya kigaidi ndiyo sababu kuu iliyoliwezesha kundi la kigaidi la Daesh kuteka na kukalia kwa mabavu maeneo ya nchi hiyo mwaka 2014.

  • Rais wa zamani wa Sierra Leone azuiwa kuondoka nchini, kisa ufisadi

    Rais wa zamani wa Sierra Leone azuiwa kuondoka nchini, kisa ufisadi

    Sep 30, 2020 09:17

    Serikali ya Sierra Leone imemuwekea vikwazo vya kusafiri nje ya nchi aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Ernest Bai Koroma anayeandamwa na tuhuma za ufisadi wa kifedha.

  • Rais wa Ghana: Nitafanya jitihada za kuimarisha uhusiano wetu na Iran

    Rais wa Ghana: Nitafanya jitihada za kuimarisha uhusiano wetu na Iran

    Sep 24, 2020 04:22

    Rais Nana Akufo-Addo wa Ghana amesema atafanya juu chini kuimarisha uhusiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Baraza la Katiba Ivory Coast lamuidhinisha Outtara kugombea muhula wa 3 wa urais

    Baraza la Katiba Ivory Coast lamuidhinisha Outtara kugombea muhula wa 3 wa urais

    Sep 14, 2020 23:05

    Baraza la Katiba la Ivory Coast limemuidhinisha Rais Alassane Outtara kugombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao.

  • Ecowas yalitaka jeshi la Mali limtangaze rais ndani ya wiki moja

    Ecowas yalitaka jeshi la Mali limtangaze rais ndani ya wiki moja

    Sep 07, 2020 23:03

    Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (Ecowas) imewataka wanajeshi wafanya mapinduzi huko Mali kumtangaza rais mpya wa mpito wa nchi hiyo kufikia Septemba 15.

  • Rais Conde (82) wa Guinea kugombea muhula wa tatu wa urais

    Rais Conde (82) wa Guinea kugombea muhula wa tatu wa urais

    Sep 01, 2020 03:16

    Rais Alpha Conde wa Guinea amekubali uteuzi wa chama chake wa kugombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi unaotazamiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

  • Wanajeshi waliofanya mapinduzi Mali wamuachia huru Rais Keita

    Wanajeshi waliofanya mapinduzi Mali wamuachia huru Rais Keita

    Aug 27, 2020 21:54

    Viongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Mali wametangaza habari ya kumuachia huru Rais Ibrahim Boubacar Keita wa nchi hiyo, ambaye amekuwa akizuiliwa tokea tarehe 18 mwezi huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS