Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • EACJ yaanza kusikiliza kesi ya ukomo wa urais nchini Uganda

    EACJ yaanza kusikiliza kesi ya ukomo wa urais nchini Uganda

    Jul 16, 2020 03:10

    Mahakama ya Uadilifu ya Afrika Mashariki EACJ imeanza kusikiliza kesi ya kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Uganda, ya kuidhinisha mabadiliko ya katiba yalioondoa ukomo wa umri wa kugombea urais katika nchi hiyo, wa miaka 75.

  • Rais wa Ghana ajiweka karantini baada ya mpambe wake kuambukizwa corona

    Rais wa Ghana ajiweka karantini baada ya mpambe wake kuambukizwa corona

    Jul 05, 2020 23:03

    Rais Nana Dankwa Akufo-Addo wa Ghana amejiweka karantini baada ya mpambe wake wa karibu kuthibitika kuwa ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19.

  • Maalim Seif atangaza kugombea tena urais Zanzibar kwa mara ya 6 huku akisisitiza mshindi halisi ndiye atakayekuwa rais

    Maalim Seif atangaza kugombea tena urais Zanzibar kwa mara ya 6 huku akisisitiza mshindi halisi ndiye atakayekuwa rais

    Jun 28, 2020 11:45

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa nchini Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad, ametangaza nia ya kugombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

  • Kiongozi wa upinzani Malawi aapishwa kuwa rais baada ya kushinda uchaguzi wa marudio

    Kiongozi wa upinzani Malawi aapishwa kuwa rais baada ya kushinda uchaguzi wa marudio

    Jun 28, 2020 11:36

    Kiongozi wa upinzani nchini Malawi Lazarus Chakwera leo ameapishwa kuwa rais mpya wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, baada ya kushinda uchaguzi uliokuwa na ushindani mkali, ambao uliitishwa tena baada ya matokeo ya uchaguzi wa awali kubatilishwa.

  • Kinara wa upinzani nchini Malawi ashinda uchaguzi wa rais, chama tawala chalia rafu

    Kinara wa upinzani nchini Malawi ashinda uchaguzi wa rais, chama tawala chalia rafu

    Jun 27, 2020 23:05

    Kinara wa chama cha upinzani cha Malawi Congress Party (MCP), Lazarus Chakwera ameshinda uchaguzi wa urais wa marudio uliofanyika Jumanne iliyopita, kwa kupata asilimia 58.57 ya kura.

  • Rais wa Senegal yuko karantini baada ya kutangamana na mwenye corona

    Rais wa Senegal yuko karantini baada ya kutangamana na mwenye corona

    Jun 25, 2020 03:26

    Rais Macky Sall wa Senegal amejiweka katika karantini baada ya kutagusana na mtu mwenye maradhi ya COVID-19.

  • Maelfu waandamana Mali wakitaka rais wa nchi hiyo aachie ngazi

    Maelfu waandamana Mali wakitaka rais wa nchi hiyo aachie ngazi

    Jun 20, 2020 02:10

    Makumi ya maelfu ya wananchi wa Mali wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu Bamako, wakishinikiza kujiuzulu Rais Ibrahim Boubacar Keita wa nchi hiyo.

  • Ndayishimiye aapishwa kuwa rais mpya wa Burundi, aahidi kuliunganisha taifa+SAUTI

    Ndayishimiye aapishwa kuwa rais mpya wa Burundi, aahidi kuliunganisha taifa+SAUTI

    Jun 18, 2020 08:55

    Evariste Ndayishimiye aliyeshinda uchaguzi mkuu wa hivi karibuni nchini Burundi ameapishwa leo Alkhamisi kuwa rais mpya wa nchi hiyo, kufuatia kifo cha ghafla cha Rais Pierre Nkurunziza.

  • Rais mteule wa Burundi kuapishwa Alkhamisi

    Rais mteule wa Burundi kuapishwa Alkhamisi

    Jun 16, 2020 03:31

    Rais mteule wa Burundi, Evariste Ndayishimiye aliyeshinda uchaguzi mkuu wa hivi karibuni anatazamiwa kuapishwa Alkhamisi hii Juni 18 kuwa rais wa nchi hiyo kufuatia kifo cha ghafla cha Rais Pierre Nkurunziza.

  • Baraza la mawaziri Burundi lajadili mustakbali wa nchi baada ya kifo cha Nkurunziza

    Baraza la mawaziri Burundi lajadili mustakbali wa nchi baada ya kifo cha Nkurunziza

    Jun 11, 2020 08:57

    Burundi leo Alkhamisi imeitisha mkutano wa Baraza la Mawaziri kujadili mustakbali wa nchi hiyo baada ya kifo cha ghafla cha rais Pierre Nkurunziza Jumatatu iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS