Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Rais Kagame ataka kuondolewa vikwazo Zimbabwe na Sudan

    Rais Kagame ataka kuondolewa vikwazo Zimbabwe na Sudan

    Jun 04, 2020 03:03

    Rais Paul Kagame wa Rwanda ametoa mwito wa kuondolewa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Zimbabwe na Sudan ili kuzisaidia nchi hizo katika vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.

  • Rais wa Ghana: Natumai mauaji ya Floyd yatachochea mabadiliko Marekani

    Rais wa Ghana: Natumai mauaji ya Floyd yatachochea mabadiliko Marekani

    Jun 02, 2020 23:25

    Rais wa Ghana ameashiria kuhusu mauaji ya kutisha ya Mmarekani mmoja mwenye asili ya Afrika katika mji wa Minneapolis nchini Marekani na kusema kuwa, "natumai kifo cha George Floyd kitakuwa chachu ya madiliko ya kudumu ya matatizo ya chuki na ubaguzi."

  • Rais wa Msumbiji: Vikosi vya nchi vinakabiliana vikali na wanamgambo vamizi

    Rais wa Msumbiji: Vikosi vya nchi vinakabiliana vikali na wanamgambo vamizi

    Jun 01, 2020 03:09

    Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji amesema kuwa jeshi la vikosi vya ulinzi na usalama vya nchi hiyo limekabiliana vikali na wanamgambo vamizi baada ya kushambulia mji wa Macomia katika jimbo tajiri kwa gesi kaskazini mwa nchi hiyo Alhamisi iliyopita.

  • Rais wa Zimbabwe awashambulia Wamagharibi kwa kuingilia masuala ya ndani ya Afrika

    Rais wa Zimbabwe awashambulia Wamagharibi kwa kuingilia masuala ya ndani ya Afrika

    May 25, 2020 21:57

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amezishambulia vikali nchi za Magharibi kwa kuendelea kuingilia masuala ya ndani ya mataifa ya Afrika.

  • Rais wa Uganda: Ni wendawazimu kufanya uchaguzi katika mazingira ya corona

    Rais wa Uganda: Ni wendawazimu kufanya uchaguzi katika mazingira ya corona

    May 12, 2020 10:18

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema itakuwa ni kosa kubwa kwa taifa hilo kufanya uchaguzi wa rais mapema mwaka ujao iwapo mlipuko wa virusi va corona utashtadi nchini humo.

  • Kura ya maoni Guinea yaunga mkono mabadiliko ya katiba yanayoweza kurefusha urais wa Conde

    Kura ya maoni Guinea yaunga mkono mabadiliko ya katiba yanayoweza kurefusha urais wa Conde

    Mar 28, 2020 03:23

    Matokeo ya awali ya kura ya maoni iliyofanyika nchini Guinea yanaonyesha kuwa, akthari ya wananchi wameunga mkono kwa wingi mkubwa wa kura mabadiliko ya katiba, ambayo matokeo yake yanahofiwa na upinzani kuwa yanaweza kumruhusu Rais Alpha Conde kuendelea kutawala kwa miaka mingine 12.

  • Magufuli: Mlipuko wa corona hautafanya uchaguzi mkuu wa Tanzania uakhirishwe

    Magufuli: Mlipuko wa corona hautafanya uchaguzi mkuu wa Tanzania uakhirishwe

    Mar 26, 2020 08:47

    Rais John Magufuli wa Tanzania amesema uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba mwaka huu hautaakhirishwa licha ya kuwepo kwa mlipuko wa virusi vya corona.

  • Rais wa Ivory Coast abadili msimamo, asema hatogombea tena urais

    Rais wa Ivory Coast abadili msimamo, asema hatogombea tena urais

    Mar 05, 2020 22:56

    Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast amesema hatagombea kiti cha urais kwa muhula wa tatu katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

  • Lebanon yachukua uamuzi wa kuanza kuchimba mafuta eneo inalozozania na Israel

    Lebanon yachukua uamuzi wa kuanza kuchimba mafuta eneo inalozozania na Israel

    Feb 27, 2020 21:47

    Rais Michel Aoun wa Lebanon ametangaza kuwa nchi yake itaanzisha operesheni ya kuchimba mafuta katika eneo inalozozania na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Rais wa Mali: Serikali iko tayari kuzungumza na makundi ya kigaidi

    Rais wa Mali: Serikali iko tayari kuzungumza na makundi ya kigaidi

    Feb 11, 2020 08:42

    Rais Ibrahim Boubacar Keita wa Mali amesema serikali yake iko tayari kukutana na kufanya mazungumzo na makundi ya kigaidi kwa shabaha ya kumaliza jinamizi la ugaidi ambalo mbali na kuchochea mapigano ya kikabila, pia limeifanya nchi hiyo ishindwe kutawalika na kustawi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS