-
Rais wa zamani wa Kenya, Arap Moi ameaga dunia
Feb 04, 2020 01:19Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza mapema leo Jumanne kwamba, RAIS Mstaafu wa nchi hiyo, Daniel Toroitich Arap Moi, 1924 – 2020, amefariki dunia.
-
Rais Nyusi wa Msumbiji aapishwa, upinzani wasusia
Jan 15, 2020 23:02Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji alikula kiapo cha kulitumikia taifa jana Jumatano katika hafla iliyosusiwa na viongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo, wanaosisitiza kuwa kuliwepo na udanganyifu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka uliomalizika wa 2019.
-
Rais wa Niger amfuta kazi Mkuu wa Majeshi baada ya kuuawa askari 174
Jan 14, 2020 08:30Rais Issoufou Mahamadou wa Niger amempiga kalamu nyekundu Mkuu wa Majeshi ya nchi hiyo, Luteni Jenerali Ahmed Mohamed kufuatia mashambulio ya magenge ya kigaidi na waasi yaliyoua askari 174 wa nchi hiyo tokea mwezi Disemba mwaka uliomalizika wa 2019 hadi sasa.
-
Tebboune aapishwa kuwa rais mpya wa Algeria
Dec 19, 2019 09:49Abdelmajid Tebboune ameapishwa leo Alkhamisi kuwa rais wa Algeria, huku harakati ya upinzani ya Hirak ikiendelea kujadili ombi la kiongozi huyo la kufanya mazungumzo.
-
Rais Kiir wa Sudan Kusini na Machar kukutana ana kwa ana Juba
Dec 10, 2019 04:20Mahasimu wa kisiasa nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa upinzani, Riek Machar wanatazamiwa kukutana leo Jumanne katika mazungumzo ya uso kwa uso katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba.
-
Rais wa Namibia ahifadhi kiti chake kwa kupata asilimia 56 ya kura
Dec 01, 2019 00:07Tume ya Uchaguzi Namibia (ECN) imemtangaza Rais Hage Geingob wa nchi hiyo kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais kwa kuzoa asilimia 56.3 ya kura zilizopigwa katika uchaguzi mkuu.
-
Rais wa Iraq ajibu uingiliaji wa Marekani katika masuala ya nchi hiyo
Nov 12, 2019 09:07Rais wa Iraq ametoa radiamali yake kwa taarifa ya uingiliaji ya Marekani kwa kusema: Mageuzi yanayotarajiwa huko Iraq kamwe hayapasi kuathiriwa na maamuzi kutoka nje.
-
Magazeti ya Marekani yathibitisha: Rouhani alimuacha solemba Trump akisubiri mazungumzo ya simu
Oct 01, 2019 10:09Vyombo vya habari nchini Marekani vimethibitisha kuwa, akiwa mjini New York Rais Hassan Rouhani wa Iran alikataa kuzungumza kwa simu na Rais Donald Trump, mpango ambao uliandaliwa kwa siri na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa na hivyo kumwacha solemba Trump akisubiri kwenye simu.
-
Rais wa Senegal atangaza msamaha kwa kinara wa upinzani
Sep 30, 2019 04:03Rais Macky Sall wa Senegal ametangaza msahama kwa kiongozi wa upinzani nchini humo, Khalifa Sall ambaye alikuwa anatumikia kifungo cha miaka mitano jela tokea mwaka jana 2018 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ufisadi iliyokuwa ikimkabili.
-
Rais wa Kodivaa (78): Nina hamu ya kukabidhi madaraka kwa vijana
Sep 29, 2019 23:07Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast amesema ana hamu kubwa ya kukabidhi madaraka kwa kizazi cha sasa cha vijana katika uchaguzi wa rais wa mwakani.