-
Agizo jipya la Trump dhidi ya maafisa wa Iran na tapatapa za mfamaji
Sep 27, 2019 03:39Rais Donald Trump wa Marekani jana Alkhamisi aliendeleza sera zake za kuiweka mashinikizo ya juu zaidi kwa shabaha ya kuilazimisha Jamhuri ya Kiislamu isalimu amri mbele ya matakwa ya serikali ya Washington.
-
Rais Bashar al-Assad wa Syria atoa amri ya msamaha kwa wote
Sep 16, 2019 03:36Rais Bashar al-Assad wa Syria ametoa amri ya msamaha kwa watuhumiwa ambao hawakufanya jinai kama za kuua watu nchini humo.
-
Trump amuita Rais Sisi wa Misri kuwa dikteta
Sep 14, 2019 07:05Rais Donald Trump wa Marekani ameripotiwa kumtaja Rais Abdul Fattah al-Sisi kuwa dikteta.
-
Mazungumzo ya viongozi wa Ufaransa na Marekani kuhusu Iran na JCPOA
Aug 25, 2019 08:21Mivutano iliyopo baina ya Marekani na nchi za Ulaya zilizomo katika kundi la 4+1 kuhusiana na jinsi ya kuamiliana na Iran na kadhia nzima ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA bado ni moja ya mivutano mikubwa ya pande hizo mbili. Katika wiki za hivi karibuni, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alifanya mazungumzo mbalimbali na marais wa Iran na Marekani na kuja na mapendekezo ya kupunguza wasiwasi uliopo.
-
Wananchi wa Tunisia wamuomboleza kiongozi wao; wasubiri nchi kupitisha kipindi cha mpito kwa amani
Jul 27, 2019 03:15Wananchi wa Tunisia ambao jana walimiminika mitaani kuomboleza kifo cha mwendazake Rais wa nchi hiyo Beji Caid Essebsi wanasema wameridhishwa na hatua zinazoendelea kutekelezwa kwa ajili ya kumchagua kiongozi atakayeziba nafasi ya Essebsi.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa taifa la Misri kufuatia kifo cha Mohammad Morsi
Jun 18, 2019 07:58Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mkono wa pole kwa familia ya Mohammed Morsi, kufuatia kifo tata cha rais huyo wa zamani wa Misri.
-
Ramaphosa: Afrika Kusini inakabiliwa na mgogoro wa ukosefu wa ajira kwa vijana
Jun 17, 2019 08:28Rais Cyril Ramaphosa amesema Afrika Kusini inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa ukosefu wa ajira miongoni mwa tabaka la vijana.
-
Bashir aonekana hadharani mara ya kwanza baada ya kupinduliwa, ashitakiwa kwa ufisadi
Jun 17, 2019 03:31Aliyekuwa Rais wa Sudan, Omar Hassan al-Bashir ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu aondolewe madarakani Aprili 11 mwaka huu.
-
Rais Michel Aoun: Njama zote za kutaka kuibua machafuko zitapata jibu kali
Jun 04, 2019 08:32Rais Michel Aoun wa Lebanon ametoa radiamali yake kufuatia shambulizi la kigaidi lililofanyika Tripoli nchini humo na kusema kuwa, hatua yoyote mbaya yenye lengo la kuibua ghasia ndani ya taifa hilo, itakabiliwa na jibu kali.
-
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini: Niko tayari kuachia ngazi
May 15, 2019 01:55Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amesema yuko tayari kuachia ngazi na kukabidhi madaraka iwapo kutakuwa na haja ya msingi ya yeye kuchukua hatua hiyo.