-
Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini yaporomoka, ANC kumuondoa Zuma ofisini kwa nguvu
Feb 13, 2018 04:35Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini (rand) imeporomoka baada ya chama tawala nchini humo ANC kutishia kuwa kitamuondoa ofisini kwa nguvu Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Rais Zuma wa Afrika Kusini apewa masaa 48 ajiuzulu
Feb 12, 2018 23:40Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amepewa masaa 48 awe ameachia ngazi, baada ya kufanyika mkutano wa dharura wa chama tawala ANC.
-
Taharuki yashtadi Maldives, rais wa zamani akamatwa, hali ya hatari yatangazwa
Feb 06, 2018 03:42Masaa machache baada ya Rais wa Maldives kutangaza hali ya hatari, rais wa zamani wa kisiwa hicho ametiwa mbaroni.
-
Rais Rouhani: Wananchi wa Iran katu hawatafumbia macho 'Jamhuri ya Kiislamu'
Jan 31, 2018 04:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Iran wenye sifa ya jamhuri na Uislamu ni kumbukumbu ya Imam Ruhullah Khomeini MA mwasisi na mwanzishi wa Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kwamba, wananchi wa taifa hili katu hawatambufia macho mfumo huu wenye sifa hizi mbili.
-
Odinga 'aapishwa' kuwa 'rais wa wananchi' Kenya, viongozi wenzake wasusa
Jan 30, 2018 13:21Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga 'ameapishwa' hii leo kuwa 'rais wa wananchi' katika sherehe ilizofanyika katika Bustani ya Uhuru jijini Nairobi.
-
Rais wa Zimbabwe: Nitaheshimu matokeo ya uchaguzi wa rais
Jan 24, 2018 11:09Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameahidi kuwa nchi hiyo itafanya uchaguzi wa urais kabla ya Julai mwaka huu na kwamba ataheshimu uamuzi wa wananchi.
-
Chama tawala Afrika Kusini kumuuzulu Rais Zuma kwa nguvu
Jan 21, 2018 04:13Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimetishia kumuuzulu Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo iwapo hatakubali kuachia ngazi kwa khiari.
-
Rais wa Nigeria asema hajui kama atagombea muhula wa pili
Jan 18, 2018 11:00Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema hajui iwapo atagombea muhula wa pili wa uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika mwaka ujao 2019 au la.
-
Museveni aituhumu UN kuwa 'inalinda ugaidi' Kongo DR
Jan 17, 2018 11:14Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameibua tuhuma nzito dhidi ya Umoja wa Mataifa akidai kuwa chombo hicho cha kimataifa 'kinalinda ugaidi' mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Rais Assad: Matatizo ya Waarabu yanasababishwa na fikra potovu
Jan 16, 2018 01:16Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, matatizo yanayoukumba ulimwengu wa Kiarabu yanatokana na fikra potovu na kwamba madamu tatizo hilo halijatatuliwa, basi bado migogoro na vita vitaendelea kushuhudiwa katika eneo la Mashariki ya Kati.