Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Katu hatutofanya mazungumzo na adui chini ya vikwazo

    Rais Rouhani: Katu hatutofanya mazungumzo na adui chini ya vikwazo

    Sep 25, 2019 12:52

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ni jambo lisiloyumkinika kwa taifa hili kufanya mazungumzo na adui likiwa chini ya mashinikizo na vikwazo vya kidhalimu na vilivyo kinyume cha sheria.

  • Rouhani: Kutengwa hivi sasa Marekani  hakujawahi kushuhudiwa katika historia ya uhasama na Iran

    Rouhani: Kutengwa hivi sasa Marekani hakujawahi kushuhudiwa katika historia ya uhasama na Iran

    Sep 23, 2019 09:09

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutaja kutengwa hivi sasa Marekani kuwa hakujawahi kushuhudiwa katika historia ya uhasama na Iran.

  • Rais Rouhani: Kuweko mifarakano katika eneo, ndilo takwa la Marekani na Uzayuni

    Rais Rouhani: Kuweko mifarakano katika eneo, ndilo takwa la Marekani na Uzayuni

    Sep 22, 2019 09:27

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuweko mifarakano baina ya mataifa ya Mashariki ya Kati ndilo takwa la Marekani na Uzayuni.

  • Rouhani: Iran iko tayari kunyoosha mkono wa urafiki kwa jirani zake

    Rouhani: Iran iko tayari kunyoosha mkono wa urafiki kwa jirani zake

    Sep 22, 2019 04:46

    Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ipo tayari kunyoosha mkono wa urafiki kwa jirani zake, sambamba na kusamehe makosa yaliyofanywa na baadhi ya nchi hizo.

  • Marekani na utumiaji wa viza kama wenzo wa mashinikizo dhidi ya washiriki katika vikao vya UN

    Marekani na utumiaji wa viza kama wenzo wa mashinikizo dhidi ya washiriki katika vikao vya UN

    Sep 19, 2019 06:57

    Marekani ambayo ni mwenyeji wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York daima imekuwa ikitumia suala la kutoa viza kwa jumbe na maafisa wa nchi mbalimbali wanaotaka kushiriki vikao vya Umoja wa Mataifa kama wenzo wa kutoa mashinikizo dhidi ya nchi zinazopinga sera za kibeberu za nchi hiyo.

  • Rouhani: Mapambano ya mataifa ya eneo ni mwenge usioweza kuzimwa

    Rouhani: Mapambano ya mataifa ya eneo ni mwenge usioweza kuzimwa

    Sep 18, 2019 07:44

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema muqawama na mapambano ya mataifa yaliyoamka ya eneo ni mwenge usioweza kuzimwa na kusisitiza kuwa: " Jibu la Wayemen ambalo ni onyo linapaswa kuwa somo kwa maadui wa eneo ili wasitishe vita katika eneo."

  • Iran: Rais Rouhani hana mpango wowote wa kukutana na Trump

    Iran: Rais Rouhani hana mpango wowote wa kukutana na Trump

    Sep 16, 2019 22:45

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali uwezekano wowote wa Rais Hassan Rouhani kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika mkutano ujao wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York.

  • Rouhani: Ni lazima Marekani iachane na sera zake za vita na mashinikizo

    Rouhani: Ni lazima Marekani iachane na sera zake za vita na mashinikizo

    Sep 11, 2019 23:37

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, stratijia ya taifa la Iran katika kukabiliana na mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi ni kusimama kidete. Ameongeza kuwa: "Ni lazima Marekani iweke kando sera zake za kupenda vita na mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa."

  • Kutekelezwa awamu ya tatu; radiamali ya Iran ya kuchezea fursa madola ya Ulaya

    Kutekelezwa awamu ya tatu; radiamali ya Iran ya kuchezea fursa madola ya Ulaya

    Sep 05, 2019 03:35

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa agizo la kutekelezwa hatua ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji wake katika makuubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Rais Rouhani: Awamu ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji katika JCPOA itaanza kesho Ijumaa

    Rais Rouhani: Awamu ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji katika JCPOA itaanza kesho Ijumaa

    Sep 05, 2019 00:06

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameatangaza kuwa, awamu ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA itaanza kutekelezwa kesho Ijumaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS