-
Rais Rouhani: Iran itatekeleza awamu ya tatu ya kupunguza uwajibikaji katika JCPOA
Sep 04, 2019 08:41Rais Hassan Rouhani amesema, mazungumzo na nchi za Ulaya bado hayajafikia mwafaka kamili; na kwa msingi huo Iran itachukua hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji wa kutekeleza majukumu yake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Rais Rouhani: Iran haina ajenda ya kufanya mazungumzo na Marekani
Sep 03, 2019 03:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haijawahi kuwa na ajenda ya kufanya mazungumzo ya pande mbili na Marekani.
-
Rais Rouhani: Taifa la Iran litashinda vita vya kiuchumi kwa umoja na muqawama
Aug 28, 2019 22:07Rais Hassan Rouhani amesema, wananchi wa Iran watashinda vita vya kiuchumi vilivyoanzishwa na Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kwa umoja wao na muqawama.
-
Rouhani: Iran haitaki ugomvi na nchi za dunia
Aug 27, 2019 07:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitaki ugomvi bali inachopigania ni usalama wa kieneo na kimataifa na vile vile kushirikiana vizuri na nchi rafiki.
-
Rouhani: Wananchi wa Iran watasimama kidete mbele ya njama za maajinabi
Aug 24, 2019 03:45Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia njama za maadui ambao wanalenga kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu na kusisitiza kuwa: "Wananchi wa Iran wamesimama kidete mbele ya njama za maajinabi"
-
Rouhani: Kujiondoa Marekani katika JCPOA kuna maana ya kukiuka makubaliano ya kimataifa na ugaidi wa kiuchumi
Aug 22, 2019 22:15Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kujiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuna maana ya kuvunja mkataba, kukiuka ahadi, kupuuza makubaliano ya kimataifa na ugaidi wa kiuchumi.
-
Rais Rouhani azindua rasmi mfumo wa makombora wa Bavar-373
Aug 22, 2019 02:45Sambamba na maadhimisho ya Siku ya Sekta ya Ulinzi ya Iran tarehe 22 Agosti, Rais Hassan Rouhani leo amezindua rasmi mfumo wa makombora uliotengenezwa na wataalamu wa hapa nchini wenye uwezo wa kupiga shabaha masafa marefu wa Bavar-373.
-
Rais Rouhani: Kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi hakuhitajii vikosi vya kigeni
Aug 14, 2019 08:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, ili kudhamini usalama na utulivu katika Ghuba ya Uajemi hakuna haja ya kuweko vikosi vya kieneo katika eneo hilo.
-
Rouhani: India na Pakistan zivute subira ili kuzuia machafuko huko Kashmir
Aug 11, 2019 09:42Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo ya simu na Waziri Mkuu wa Pakistan kwamba: Iran inazitolea wito India na Pakistan zizuie machafuko na kuuliwa watu wasio na hatia katika eneo la Kashmir kwa pande mbili hizo kuwa na subira na uvumilivu.
-
Rouhani: Marekani imepoteza matumaini ya kuvunja uhuru wa taifa la Iran
Aug 07, 2019 06:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imepoteza matumaini ya kuvunja na kusambaratisha uhuru wa taifa la Iran.