-
Russia: Kurutubisha Iran urani kwa 60% ni mjibizo kwa vikwazo ilivyowekewa
Jul 08, 2025 10:36Mwakilishi wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao mjini Vienna amesema, hatua ya Iran kurutubisha madini ya urani hadi kiwango cha asilimia 60 ni mjibizo kwa vikwazo na mashinikizo ya kimataifa inayowekewa.
-
Mfumo wa ulinzi wa anga wa Russia watungua droni 400 za Ukraine
Jul 07, 2025 07:45Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kuwa Jeshi la anga la nchi hiyo limefanikiwa kudungua ndege zisizo na rubani 402 za Ukraine na mabomu saba ya angani yaliyokuwa yakiongozwa tokea mbali.
-
Rais Putin: BRICS imeipiku G7 katika utendaji kazi, GDP
Jul 07, 2025 03:41Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kundi la BRICS limelishinda kundi la G7 linalotawaliwa na nchi za Magharibi, kwa Pato Ghafi la Taifa (GDP).
-
Sababu za Marekani kusimamisha kutuma mokombora ya ulinzi wa anga nchini Ukraine
Jul 04, 2025 08:56Katika hali ambayo Ukraine imekuwa ikishambuliwa vikali kwa ndege zisizo na rubani na makombora ya Russia katika kipindi cha miaka minne iliyopita, Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesitisha baadhi ya shehena za kijeshi ilizoahidiwa Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya Patriot na Hellfire.
-
Russia yajibu baada ya Trump 'kumtishia nyau' Putin eti 'anacheza na moto'
May 28, 2025 03:18Rais wa Marekani, Donald Trump ametoa matamshi ambayo yanaonekana ya kumtishia mwenzake wa Russia, Vladimir Putin, ambapo amesema "anacheza na moto," bila kufafanua nini hasa anamaanisha.
-
Ghana: Afrika ipo tayari kushirikiana na Russia kuunda mustakabali wa kimataifa
May 27, 2025 03:35Mbunge wa Ghana amesema Afrika iko tayari kuwa nguvu muhimu katika maendeleo ya kimataifa, akikaribisha uhusiano unaozidi kustawi wa bara hilo na Russia, alioutaja kama njia ya maendeleo endelevu.
-
"Msingi wa uhusiano wa Russia, Afrika ni mshikamano wa zama za Sovieti"
May 20, 2025 22:56Russia imesema serikali nyingi za Kiafrika zimedumisha msimamo huru, uliojikita katika kutoingilia kati masuala ya nchi nyingine, kuheshimu mamlaka ya kujitawala na uhuru wa kitaifa, na zimekataa kupasisha vikwazo dhidi ya Russia licha ya mashinikizo makubwa kutoka kwa nchi za Magharibi.
-
Jumatano, tarehe 21 Mei, 2025
May 20, 2025 22:53Leo ni Jumatano tarehe 23 Mfunguo Pili Dhulqaada 1446 Hijria mwafaka na tarehe 21 Mei 2025.
-
Witkoff: Amani haiwezi kupatikana Ukraine bila ridhaa ya Putin
May 13, 2025 23:14Steve Witkoff, Mjumbe maalumu wa Rais wa Marekani, Donald Trump amesema utatuzi wa amani wa mzozo wa Ukraine hauwezekani bila idhini na ridhaa ya Rais wa Russia, Vladimir Putin.
-
Putin apendekeza mazungumzo ya moja kwa moja na Ukraine kwa ajili ya 'amani ya kudumu'
May 11, 2025 22:31Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa wito akitaka kuanza tena mazungumzo ya moja kwa moja bila masharti kati ya nchi yake na Ukraine mjini Istanbul, Mei 15, ili kufikia makubaliano ya amani ya kudumu.