-
Marekani: Russia ni tishio halisi kwa maslahi yetu duniani katika sekta ya kimtandao
Jan 06, 2017 01:15Viongozi wa idara tatu za intelejensia nchini Marekani, wameitaja Russia kuwa ni tishio halisi kwa maslahi yake duniani kutokana na nchi hiyo kumiliki mfumo wa intaneti wenye nguvu zaidi.
-
"Yumkini Marekani na Russia zikaingia vitani ndani ya siku 20 zijazo"
Jan 01, 2017 04:30Marekani ipo katika ncha ya kungia kwenye vita na Russia katika kipindi cha siku 20 zijazo.
-
Le Monde: Putin Shakhsia mashuhuri wa mwaka 2016
Dec 31, 2016 23:30Gazeti la Ufaransa la Le Monde limemtangaza Rais Vladimir Putin wa Russia kuwa ndiye shakhsia na mtu mashuhuri zaidi katika mwaka huu wa 2016.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia na kisingizio cha kuhujumu uchaguzi wa rais wa nchi hiyo
Dec 30, 2016 11:52Serikali ya Marekani imewafukuza wanadiplomasia 35 wa Russia na kuzidisha vikwazo dhidi ya nchi hiyo kwa kisingizio kwamba Moscow iliingilia zoezi la uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Serikali ya Marekani yawafukuza wanadiplomasia wa Russia
Dec 30, 2016 00:17Serikali ya Marekani imewafukuza nchini humo wanadiplomasia wa Russia kitendo ambacho kimeufanya uhusiano wa nchi mbili hizo kuingia katika hatua nyingine.
-
Kuna uwezekano wa kitendo cha kigaidi katika ajali ya ndege ya Russia - Waziri
Dec 26, 2016 03:41Waziri wa Usafiri na Uchukuzi wa Russia amesema, kuna uwezekano wa kuweko kitendo cha kigaidi katika ajali ya ndege ya nchi hiyo iliyoanguka na kuua makumi ya watu.
-
Moscow: Ndege ya Russia haikuangushwa na magaidi
Dec 25, 2016 12:17Mkuu wa Kamati ya Ulinzi nchini Russia amepinga uwezekano kuwa magaidi walihusika katika kuanguka ndege ya nchi hiyo mapema hii leo.
-
Iran na Russia; juhudi za kidiplomasia za kuanzisha mazungumzo ya kisiasa kuhusu Syria
Dec 25, 2016 09:28Jitihada za kidiplomasia zinafanyika tena kwa ajili ya kuanzisha mazungumzo ya kisiasa huko Syria baada ya kukombolewa mji wa kistratejia wa Halab (Aleppo) kutoka mikononi mwa magaidi wa Daesh.
-
Russia kuimarisha nguvu zake za kijeshi nchini Syria
Dec 24, 2016 12:14Mbunge mmoja wa Russia amesema kuwa, Moscow imeamua kuimarisha nguvu zake za kijeshi nchini Syria.
-
Trump asisitiza udharura wa kuimarishwa uwezo wa silaha za nyuklia wa Marekani
Dec 24, 2016 03:59Rais mteule wa Marekani, Donald Trump Alkhamisi ya jana alitangaza kuwa, nchi hiyo inapaswa kuimarisha zaidi uwezo wake wa silaha za nyuklia maadamu ulimwengu haujapata mwelekeo wa kimantiki kuhusu silaha za atomiki.