-
Nadharia ya ulimwengu wa kambi kadhaa; mwelekeo huu utaimarishwa katika Mkutano wa Shanghai?
Sep 01, 2025 02:35Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unaohudhuriwa na viongozi kutoka zaidi ya nchi 20 ulianza jana Jumapili katika mji wa Tianjin wa China.
-
Kwa nini doria ya kwanza ya pamoja ya nyambizi za Russia na China ni muhimu?
Aug 30, 2025 02:31Doria ya pamoja ya nyambizi za Russia na China imefanyika kwa mara ya kwanza katika eneo la Asia-Pasifiki.
-
Russia na China zasimama na Iran dhidi ya E3 kwa kutumia vibaya azimio la UN
Aug 29, 2025 07:38Russia na China zimechukua hatua kukabiliana na mpango wa nchi tatu zinazounda Troika ya Ulaya, E3, na kusambaza rasimu ya azimio katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalopendekeza "urefushaji wa kiufundi" kwa muda wa miezi sita utekelezaji wa Azimio 2231 la baraza hilo.
-
Russia: Tumepiga Ukraine kwa makombora ya hypersonic
Aug 29, 2025 02:23Russia imetangaza habari ya kutekeleza mashambulizi ya masafa marefu dhidi ya shabaha za jeshi la Ukraine, kwa kutumia aina mbalimbali za silaha, yakiwemo makombora ya hypersonic aina ya Kinzhal.
-
Je, kustawishwa ushirikiano wa Russia na India ni jibu kwa sera ya mashinikizo ya Trump?
Aug 27, 2025 02:21Sambamba na mashinikizo ya utawala wa Trump dhidi ya India ili ipunguze uhusiano wake na Russia, Waziri wa Mambo ya Nje wa India alisafiri hadi Moscow na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Russia Vladimir Putin.
-
Russia yatungua droni ya Ukraine iliyokusudia kushambulia kinu cha nyuklia cha Kursk
Aug 24, 2025 10:53Vikosi vya ulinzi wa anga vya Russia vimeitungua ndege isiyo na rubani ya Ukraine (Droni) iliyokuwa imekusudia kutekeleza shambulizi katika kiwanda cha nguvu za nyuklia cha Kursk cha Russia (KNPP).
-
Ijumaa, Agosti 22, 2025
Aug 22, 2025 02:34Leo Ijumaa tarehe 28 Safar mwaka 1447 Hijria, sawa na Agosti 22 mwaka 2025.
-
Ni yapi matokeo ya mkutano wenye utata wa Trump na Putin?
Aug 16, 2025 11:27Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu na uvumi kuhusu mkutano kati ya Marais Donald Trump wa Marekani na Vladimir Putin wa Russia kuhusu vita vya Ukraine, mkutano huo hatimaye ulifanyika Ijumaa, Agosti 15 huko Alaska.
-
Mawaziri maluuni wa kizayuni wanaweza kupandishwa kizimbani ICC katika kesi ya kwanza ya apatheidi
Aug 16, 2025 06:00Maombi ya kutolewa waranti wa kuwatia nguvuni mawaziri wawili wa utawala wa kizayuni Israel wenye msimamo mikali ya chuki Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kwa mashtaka ya kuhusika na ubaguzi wa rangi wa utenganishaji (apartheid) yamekamilika, lakini bado hayajawasilishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), kwa hofu ya vikwazo vya Marekani na mashinikizo kutoka nje.
-
UN yasema kunyimwa dhamana Besigye na mahakama ya Uganda kunatia hofu kubwa
Aug 14, 2025 13:06Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu, (OHCHR), imesema mwenendo wa Mahakama Kuu ya Uganda wa kumnyima dhamana mara kwa mara kiongozi mkongwe wa upinzani nchini humo Kizza Besigye pamoja na msaidizi wake Obeid Lutale katika kesi inayowakabili ni jambo linalotia hofu kubwa.