-
China yapinga kutimuliwa Russia katika jumuiya ya nchi zinazounda G20
Nov 15, 2022 21:33Waziri wa mambo ya nje wa China amesema anaunga mkono mchango wa Russia katika G20 na akasisitiza kuwa hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kuinyima Moscow nafasi ya kushiriki katika jumuiya za pande kadhaa.
-
Rais Putin wa Russia kutohudhuria mkutano ujao wa G20
Nov 10, 2022 23:39Ikulu ya Rais wa Russia (Kremlin) imesema Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo hatoshiriki mkutano wa kundi la G20 unaotazamiwa kufanyika wiki ijayo mjini Bali nchini Indonesia.
-
Russia: Bado hatujaafiki rasmi kurefusha usafirishaji nje wa nafaka za Ukraine
Nov 09, 2022 03:47Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Moscow bado haijaamua rasmi kuafiki kurefushwa usafirishaji nje wa nafaka za Ukraine.
-
Onyo la Russia kuhusu Wamagharibi kutuma magaidi nchini Ukraine
Nov 04, 2022 08:45Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, Nikolay Patrushev, ametangaza kuwa Marekani na Uingereza zinasajili na kuajiri magaidi wa kimataifa kwa ajili ya kushirikiana na jeshi la Ukraine katika vita dhidi ya Russia.
-
Russia yaionya Uingereza juu ya ‘matokeo hatari’ kufuatia shambulio la droni Bahari Nyeusi
Nov 04, 2022 03:15Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imemwita balozi wa Uingereza na kuionya London kuhusu "matokeo hatari," kufuatia shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine dhidi ya manowari za Moscow katika Bahari Nyeusi huko Crimea wiki iliyopita, ambapo Russia inasema Uingereza ilitoa msaada kwa Kiev kutekeleza shambulio hilo.
-
China, Russia zapinga mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la UN dhidi ya Iran
Nov 03, 2022 22:52China na Russia zimelaani kuitishwa mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Wawakilishi wa China na Russia wamelaani kitendo cha Marekani na Albania cha kufanya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu eti matukio ya Iran.
-
Russia: Kuna wajibu kwa jamii ya kimataifa kuungana kukabiliana na jinai za Marekani
Nov 03, 2022 03:27Naibu wa Mkuu wa Timu ya Russia katika Kamati ya Kwanza ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema, Marekani lazima ibebe lawama za jinai zake duniani na ameitaka jamii ya kimataifa kuungana kukabiliana na jinai hizo za Washington.
-
Wanaoiwekea vikwazo Russia sasa ndio wateja wake wakuu: Kushindwa kampeni ya vikwazo vya Magharibi
Nov 03, 2022 00:46Gazeti la Marekani la New York Times limeandika katika ripoti kwamba baadhi ya nchi za Magharibi zinazounga mkono vikwazo dhidi ya Russia zimeongeza uagizaji wa bidhaa na hasa nishati kutoka nchi hiyo tangu Februari mwaka huu.
-
IEF: Bei ya mafuta kupindukia dola 100 kwa pipa
Nov 02, 2022 22:59Jukwaa la Kimataifa la Nishati (IEF) limesema bei ya mafuta itapindukia dola 100 kwa pipa kutokana na utekelezaji wa vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia.
-
Russia: Tuko tayari kuimarisha uhusiano na Arab League
Nov 01, 2022 23:16Rais wa Russia amesisitiza kuwa Moscow iko tayari kuimarisha uhusiano wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League). Rais Vladimir Putin ameeleza hayo katika kukaribia mkutano wa Arab League huko Algeria.