-
Ukosoaji mkali wa Putin kwa mauaji ya kigaidi ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani
Oct 29, 2022 07:45Akizungumza juzi Alhamisi katika Kongamano la Valdai, Rais Vladmir Putin wa Russia amekosoa mfumo na siasa za Magharibi na kueleza kuwa nchi za Magharibi zilimuua Luteni Jenerali Soleimani; katika hali ambayo shakhsia huyo alikuwa kiongozi rasmi nchini mwake na kuongeza kwamba Wamagharibi si tu hawajakana jambo hilo bali wanajifakharisha nalo.
-
Russia yaonya baada ya US kupeleka silaha mpya za nyuklia Ulaya
Oct 29, 2022 07:11Russia imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kupeleka silaha mpya za kisasa za nyuklia za B61 katika kambi za Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) barani Ulaya na kuonya kuwa, ikilazimu, Moscow itatoa jibu kali kwa kitendo hicho.
-
Mashtaka rasmi ya Russia kwa Umoja wa Mataifa kuhusu maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine
Oct 28, 2022 22:54Russia imepeleka malalamiko yake rasmi kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuwepo kwa maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine. Vasily Nebenzia, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, amethibitisha kwamba nchi yake imekusanya ushahidi wa kutosha kuhusu uwepo wa maabara ya silaha hizo za kibiolojia za Marekani huko Ukraine.
-
Russia: Zelenskyy ni Bin Laden mwingine katika mavazi ya wazungu
Oct 25, 2022 23:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amemfananisha Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, na kiongozi aliyeangamizwa wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda.
-
Barua ya Troika ya Ulaya kwa Umoja wa Mataifa: Mwendelezo wa vita vya kisiasa na kipropaganda dhidi ya Iran
Oct 22, 2022 23:05Katika barua yake kwa Umoja wa Mataifa, Troika ya Umoja wa Ulaya inayojumuisha Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, imekariri madai ambayo hayajathibitishwa kwamba Russia inatumia ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine, na imeutaka Umoja wa Mataifa kuchunguza iwapo huo ni ukiukaji ya Azimio 2231 la Baraza la Usalama au la
-
Mawaziri wa ulinzi wa Russia na US wafanya mazungumzo nadra ya simu kujadili vita vya Ukraine
Oct 22, 2022 09:00Wizara za ulinzi za Marekani na Russia zimetangaza kuwa, mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo mbili Lloyd Austin na Sergei Shoigu wamefanya mazungumzo nadra kwa njia ya simu yaliyojikita zaidi kujadili vita vya Ukraine.
-
Kukiri Borrell juu ya mwisho wa udhibiti wa Marekani na nafasi isiyokuwa athirifu ya Ulaya duniani
Oct 22, 2022 07:41Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amekiri katika mahojiano yake siku ya Alhamisi iliyopita kwamba tunaishi katika ulimwengu wa kambi kadhaa na kwamba kipindi cha udhibiti wa upande mmoja wa Marekani kimefikia tamati.
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai yasiyo na msingi
Oct 21, 2022 07:14Siku ya Alhamisi, Oktoba 20, Umoja wa Ulaya ulitangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai ambayo hayajathibitishwa kuhusu kushiriki ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine.
-
Berlusconi amlaumu Rais Zelensky kwa vita vya Ukraine
Oct 21, 2022 00:42Waziri Mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi amesema Rais Volodymyr Zelenskiy wa Ukraine ndiye aliyemsukuma kwenye vita Rais Vladimir Putin wa Russia.
-
Tume ya UN yawasilisha ripoti ya jinai za kivita zilizofanywa na Ukraine
Oct 19, 2022 07:05Tume ya Umoja wa Mataifa inayofuatilia haki za binadamu imerekodi kwa uchache kesi mbili za uhalifu wa kivita uliofanywa na jeshi la Ukraine katika mzozo wa nchi hiyo na jeshi la Russia.