-
Russia yaionya vikali Israel dhidi ya kuipa silaha Ukraine
Oct 18, 2022 04:10Rais wa zamani wa Russia ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka usithubutu kuipa silaha Ukraine.
-
Putin: NATO inaingilia mambo ya ndani ya mataifa mengi duniani
Oct 13, 2022 23:15Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, jeshi la nchi za Magharibi NATO linaingilia mambo ya ndani ya nchi nyingi duniani kinyume cha sheria.
-
Russia yaiweka kampuni ya Meta kwenye orodha ya makundi ya kigaidi
Oct 11, 2022 23:38Russia imeiweka kampuni ya Marekani ya Meta, mmiliki wa mitandao ya kijamii ya Facebook, Instagram na WhatsApp, kwenye orodha ya makundi ya kigaidi.
-
Nchi za Magharibi zashindwa kuitenga Russia
Oct 10, 2022 21:50Kufuatia kuzorota hali ya uchumi na usalama barani Ulaya, tofauti za mitazamo kuhusu sera za nje na usalama wa bara Ulaya zimeongezeka, hasa kuhusiana na suala la Russia. Huku viongozi wa Ulaya wakizungumzia siasa za kuitenga Russia, baadhi ya wanasiasa wa bara hilo wanaonya dhidi ya kukatwa kabisa uhusiano na nchi hiyo.
-
Pentagon: Hakuna dalili kwamba Putin anataka kutumia silaha za nyuklia
Oct 08, 2022 23:25Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza kuwa hakuna dalili kwamba Rais wa Russia ana mpango wa kutumia silaha za nyuklia.
-
Russia: Rais wa Ukraine anachochea vita vya tatu vya dunia
Oct 07, 2022 08:00Ikulu ya Russia, Kremlin imemshutumu Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine kwa kujaribu kuzusha vita vya tatu vya dunia, baada ya kulitaka shirika la kijeshi la NATO lianzishe mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Russia ili kuizuia isitumie silaha za nyuklia.
-
Waziri Mkuu wa Ufaransa: Russia itabaki kuwa dola kuu lenye nguvu
Oct 04, 2022 22:37Waziri Mkuu wa Ufaransa Elizabeth Bourne amesema: Russia ilikuwa na itaendelea kuwa dola kuu lenye nguvu, na wala haitaweza kupuuzwa hata baada ya vita vya Ukraine.
-
Lavrov: Marekani inaisambaratisha Ukraine kwa ajili ya kuishinikiza Russia
Oct 03, 2022 22:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani inasababisha kupata hasara kubwa na kusambaratishwa Ukraine kwa ajili ya kutoa vitisho kwa Russia.
-
Umoja wa Ulaya wapendekeza kifurushi cha vikwazo vipya dhidi ya Russia
Sep 29, 2022 04:27Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya jana usiku alipendekeza duru mpya ya vikwazo dhidi ya Moscow; vikiwemo vikwazo katika bei ya mafuta na kuizuia Russia kuuza mafuta yake ya kiasi cha dola bilioni 7.
-
Russia na China zinataka kuachiliwa fedha za Afghanistan zilizozuiwa
Sep 29, 2022 04:23Wawakilishi wa Russia na China wametaka kuachiwa huru fedha zote za Afghanistan zilizozuiwa. Wamebainisha hayo katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.