Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia yaonya kuhusu kuongezeka hatari iwapo Marekani itatuma Ukraine makombora ya Tomahawk

    Russia yaonya kuhusu kuongezeka hatari iwapo Marekani itatuma Ukraine makombora ya Tomahawk

    Sep 30, 2025 08:31

    Russsia imesema kuwa jeshi lake linachunguza iwapo Marekani itaikabidhi Ukraine makombora ya meli ya Tomahawk au la kwa ajili ya kutekeleza mashambulizi dhidi yake; hatua ambayo maafisa wa Russia wanasema inaweza kusababisha mzozo mkubwa.

  • Russia yajibu mapigo kwa Trump baada ya kuiita 'chui wa karatasi', yasema chaguo pekee ni vita

    Russia yajibu mapigo kwa Trump baada ya kuiita 'chui wa karatasi', yasema chaguo pekee ni vita

    Sep 25, 2025 00:42

    Ikulu ya Kremlin imetangaza kuwa Russia haina "mbadala" isipokuwa kuendelea kupigana vita, huku ikijibu mapigo kwa mabadiliko ya ghafla yaliyoonyeshwa dhidi ya nchi hiyo na Rais wa Marekani Donald Trump mkabala wa Ukraine kwa kufikia hadi ya kuiita Moscow "chui wa karatasi".

  • Trump azishambulia China na India kwa kuziita 'wafadhili wakuu' wa vita vya Ukraine

    Trump azishambulia China na India kwa kuziita 'wafadhili wakuu' wa vita vya Ukraine

    Sep 25, 2025 00:42

    Rais wa Marekani Donald Trump amezituhumu India na China kuwa "zinafadhili kifedha" vita vya Ukraine kupitia uagizaji wa nishati kutoka Russia. Trump ametoa shutuma hizo katika hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa unaoendelea mjini New York.

  • Financial Times: EU inapanga kuzitumia yuro bilioni 170 fedha za Russia inazozishikilia

    Financial Times: EU inapanga kuzitumia yuro bilioni 170 fedha za Russia inazozishikilia

    Sep 18, 2025 06:41

    Gazeti la Financial Times limeripoti kuwa Umoja wa Ulaya (EU) umeamua kutekeleza mpango wa kuzitumia yuro bilioni 170 milki za Russia inazozishikilia kurudisha "mikopo ya fidia" kwa Ukraine.

  • Iran yatwaa taji la ubingwa wa dunia wa Miereka 2025, yaziacha nyuma Russia na Marekani

    Iran yatwaa taji la ubingwa wa dunia wa Miereka 2025, yaziacha nyuma Russia na Marekani

    Sep 16, 2025 03:18

    Timu ya taifa ya mchezo wa miereka aina ya Freestyle ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Dunia ya Miereka ya mwaka 2025 yanayofanyika mjini Zagreb, Croatia kwa kunyakua jumla ya medali tano na kulitwaa taji hilo kabla ya muda wa mashindano kumalizika.

  • Jumapili, 14 Septemba, 2025

    Jumapili, 14 Septemba, 2025

    Sep 13, 2025 23:15

    Leo ni Jumapili 21 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 14 Septemba 2025 Miladia.

  • Kwa nini Putin anataka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani?

    Kwa nini Putin anataka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani?

    Sep 13, 2025 23:11

    Putin ametaka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani.

  • Kamanda Mkuu wa Ukraine akiri: Warussia wametushinda katika mstari wa mbele wa vita kwa zana na nguvukazi

    Kamanda Mkuu wa Ukraine akiri: Warussia wametushinda katika mstari wa mbele wa vita kwa zana na nguvukazi

    Sep 09, 2025 06:57

    Kamanda Mkuu wa jeshi la Ukraine Aleksandr Syrsky amesema jeshi la Russia limelizidi nguvu jeshi lao katika mstari wa mbele wa vita kwa zana na nguvukazi

  • Je, China imejibu vipi tuhuma za Trump?

    Je, China imejibu vipi tuhuma za Trump?

    Sep 07, 2025 03:19

    Ikiwa ni katika kujibu madai ya Trump, China imetangaza kwamba kupanua ushirikiano wake na nchi nyingine sio tishio kwa nchi yoyote ya tatu.

  • Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia

    Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia

    Sep 06, 2025 08:32

    Viongozi wa Marekani na Umoja wa Ulaya wamekasirishwa na mkutano wa kilele wa Shanghai na mkusanyiko wa nchi hasimu za Magharibi

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS