-
Putin: Wanajeshi wa NATO nchini Ukraine watakuwa 'shabaha halali' ya Russia
Sep 05, 2025 07:33Rais Vladimir Putin wa Russia amepinga mapendekezo ya 'dhamana ya usalama ya nchi za Magharibi kwa Ukraine' akionya kwamba, wanajeshi wowote wa kigeni watakaotumwa katika nchi hiyo jirani watakuwa "shabaha halali" ya jeshi la Russia.
-
Russia: Udikteta wa kiliberali wa Magharibi unaeneza chuki duniani
Sep 03, 2025 02:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Russia amesema kuwa, ‘udikteta huria wa Magharibi’ unaeneza chuki ulimwenguni kote kwa kasi ya kutisha.
-
Iran, Russia kuimarisha uhusiano wao kupitia mikataba ya muda mrefu
Sep 02, 2025 03:34Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, na mwenzake wa Russia, Vladimir Putin wamesisitiza umuhimu wa kutekelezwa Mkataba Kamili wa Ushirikiano wa Kistratejia kati ya nchi mbili hizo.
-
Nadharia ya ulimwengu wa kambi kadhaa; mwelekeo huu utaimarishwa katika Mkutano wa Shanghai?
Aug 31, 2025 23:05Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unaohudhuriwa na viongozi kutoka zaidi ya nchi 20 ulianza jana Jumapili katika mji wa Tianjin wa China.
-
Kwa nini doria ya kwanza ya pamoja ya nyambizi za Russia na China ni muhimu?
Aug 29, 2025 23:01Doria ya pamoja ya nyambizi za Russia na China imefanyika kwa mara ya kwanza katika eneo la Asia-Pasifiki.
-
Russia na China zasimama na Iran dhidi ya E3 kwa kutumia vibaya azimio la UN
Aug 29, 2025 04:08Russia na China zimechukua hatua kukabiliana na mpango wa nchi tatu zinazounda Troika ya Ulaya, E3, na kusambaza rasimu ya azimio katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalopendekeza "urefushaji wa kiufundi" kwa muda wa miezi sita utekelezaji wa Azimio 2231 la baraza hilo.
-
Russia: Tumepiga Ukraine kwa makombora ya hypersonic
Aug 28, 2025 22:53Russia imetangaza habari ya kutekeleza mashambulizi ya masafa marefu dhidi ya shabaha za jeshi la Ukraine, kwa kutumia aina mbalimbali za silaha, yakiwemo makombora ya hypersonic aina ya Kinzhal.
-
Je, kustawishwa ushirikiano wa Russia na India ni jibu kwa sera ya mashinikizo ya Trump?
Aug 26, 2025 22:51Sambamba na mashinikizo ya utawala wa Trump dhidi ya India ili ipunguze uhusiano wake na Russia, Waziri wa Mambo ya Nje wa India alisafiri hadi Moscow na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Russia Vladimir Putin.
-
Russia yatungua droni ya Ukraine iliyokusudia kushambulia kinu cha nyuklia cha Kursk
Aug 24, 2025 07:23Vikosi vya ulinzi wa anga vya Russia vimeitungua ndege isiyo na rubani ya Ukraine (Droni) iliyokuwa imekusudia kutekeleza shambulizi katika kiwanda cha nguvu za nyuklia cha Kursk cha Russia (KNPP).
-
Ijumaa, Agosti 22, 2025
Aug 21, 2025 23:04Leo Ijumaa tarehe 28 Safar mwaka 1447 Hijria, sawa na Agosti 22 mwaka 2025.