Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Ulyanov: Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yarejee katika hali ya kabla ya serikali ya Trump

    Ulyanov: Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yarejee katika hali ya kabla ya serikali ya Trump

    Feb 10, 2021 03:14

    Mwakilishi wa Russia katika jumuiya za kimataifa mjini Vienna amesema kuwa, ili kuweza kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuna ulazima wa serikali ya Marekani kurejea katika hali iliyokuwepo kabla ya serikali iliyoondoka madarakani ya Donald Trump bila ya masharti yoyote na kisha pande mbili za Marekani na Iran zitekeleze majukumu yao kwa mujibu wa makubaliano hayo na kufutwa vikwazo vyote vilivyowekwa dhidi ya Iran.

  • Shehena ya kwanza ya chanjo ya Covid-19 ya Russia yawasili Iran

    Shehena ya kwanza ya chanjo ya Covid-19 ya Russia yawasili Iran

    Feb 04, 2021 10:45

    Shehena ya kwanza ya chanjo ya kukabiliana na virusi vya corona ya Sputnik V ya Russia imewasili hapa nchini Iran leo Alkhamisi.

  • Zarif: Iran iko tayari kushirikiana na Russia kuhusu maeneo ya Caucasia na Ghuba ya Uajemi

    Zarif: Iran iko tayari kushirikiana na Russia kuhusu maeneo ya Caucasia na Ghuba ya Uajemi

    Jan 27, 2021 00:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano wa Iran na Russia ni kwa ajili ya amani na uthabiti katika eneo. Ameongeza kuwa: "Tuko tayari kushirkiana na Russia katika masuala ya Caucasia na Ghuba ya Uajemi."

  • Russia kuwasilisha kimataifa malalamiko ya uingiliaji wa Marekani katika masuala yake ya ndani

    Russia kuwasilisha kimataifa malalamiko ya uingiliaji wa Marekani katika masuala yake ya ndani

    Jan 26, 2021 08:19

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa hivi karibuni Moscow itawasilisha rasmi malalamiko yake kuhusu usambazwaji wa habari bandia na za ugaidi unaofanywa na mitandao ya intaneti ya Marekani.

  • Kremlin yakosoa uingiliaji kati wa Marekani katika maandamano huko Russia

    Kremlin yakosoa uingiliaji kati wa Marekani katika maandamano huko Russia

    Jan 24, 2021 23:33

    Msemaji wa ikulu ya Russia (Kremlin) ameyataja matasmhi ya uingiliaji kati ya Marekani kuhusu maandamano yaliyo kinyum cha sheria huko Russia kuwa ni uingiliaji wa masuala ya ndani ya Moscow.

  • Russia yapuuzilia mbali bwabwaja mpya za Marekani dhidi ya Iran

    Russia yapuuzilia mbali bwabwaja mpya za Marekani dhidi ya Iran

    Jan 13, 2021 23:09

    Russia imekosoa vikali madai ya kipropaganda ya Marekani ya kujaribu kulifungamanisha kundi la kigaidi la al-Qaeda na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pasi na kutoa ushahidi wowote.

  • Russia yajibu madai ya Pompeo dhidi ya Iran, yasema Iran ni muathirika wa silaha za kemikali

    Russia yajibu madai ya Pompeo dhidi ya Iran, yasema Iran ni muathirika wa silaha za kemikali

    Jan 12, 2021 01:44

    Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Mashirika ya Kimataifa mjini Vienna, Mikhail Ulyanov amekanusha madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo kuwa eti Iran imetumia silaha za kemikali na kusema kuwa, Iran yenyewe ni muathiriak wa silaha hizo.

  • Algeria, nchi ya kwanza Afrika kupasisha chanjo ya corona ya Russia

    Algeria, nchi ya kwanza Afrika kupasisha chanjo ya corona ya Russia

    Jan 11, 2021 04:30

    Algeria imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupasisha chanjo ya COVID-19 iliyotengenezwa nchini Russia.

  • Russia: waungaji mkono wa Gaddafi wanapasa kushiriki mazungumzo ya Libya

    Russia: waungaji mkono wa Gaddafi wanapasa kushiriki mazungumzo ya Libya

    Jan 04, 2021 22:48

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza kuwa waungaji mkono wa dikteta wa zamani wa Libya wanapasa kushirikishwa katika mazungumzo ya amani ya nchi hiyo.

  • Lavrov: Wamagharibi ndio wanaovuruga utulivu Asia na Afrika Kaskazini

    Lavrov: Wamagharibi ndio wanaovuruga utulivu Asia na Afrika Kaskazini

    Dec 30, 2020 21:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kwamba nchi yake inaendelea kuisaidia kila upande Libya na kusisitiza kuwa, uvamizi na sisa za kibeberu za nchi za Magharibi ndizo zinazovuruga usalama wa Asia Magharibi na Afrika Kaskazini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS