-
Russia: Misaada ya kibinadamu nchini Syria haipaswi kuwekewa masharti ya kisiasa
Jul 14, 2020 06:41Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Syria haipaswi kuhusishwa na masuala ya kisiasa na kuzusha wasiwasi kwa baadhi ya watu.
-
Kuporomoka husiano wa Marekani na Russia
Jul 13, 2020 22:10Uhusiano wa Marekani na Russsia umekuwa na panda shuka nyingi katika kipindi cha baada ya Vita Baridi. Hata hivyo baada ya kujitokeza mgogoro wa Ukraine hapo mwaka 2014 uhusiano wa Moscow na Washington uliingia katika mporomoko mkubwa na sasa hitilafu kati ya pande hizo mbili zimepanuka zaidi na zaidi.
-
Sisitizo la Russia la kupatikana ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Libya
Jul 11, 2020 22:03Mgogoro wa kisiasa na vita vya Libya bado vinaendelea sambamba na jitihada zinazofanyika kikanda na kimataifa kwa ajili ya kupatikana ufumbuzi wa mgogoro huo.
-
Russia: Marekani inakabiliwa na mzozo mkubwa wa kisiasa
Jul 11, 2020 09:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema mivutano na mizozo ya kisiasa ya ndani ya nchi ndiyo sababu kuu iliyoipelekea Marekani iibue madai yasiyo na msingi dhidi ya Moscow.
-
Sisitizo la Russia la kugonga mwamba Marekani katika mwendelezo wake wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Jul 11, 2020 03:06Marekani imeanzisha vita vikubwa vya kuzuia kuondolewa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran, ambavyo kwa mujibu wa azimio nambri 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa inapasa vifikie kikomo ifikapo Oktoba 18, 2020; na ili kufikia lengo hilo imewasilisha rasimu ya azimio kwa nchi wanachama wa baraza hilo. Hata hivyo kwa Russia inaamini kuwa hatua hizo za Marekani zitagonga mwamba.
-
Russia na China zalipigia kura ya veto azimio linalokiuka mamlaka ya kujitawala ya Syria
Jul 10, 2020 23:25Russia na China zimelipigia kura ya veto azimio lililotaka kupitishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuruhusu misaada ya kibinadamu kupelekwa nchini Syria bila ya idhini ya serikali kuu ya nchi hiyo.
-
Wasiwasi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya
Jul 09, 2020 21:54Vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Libya vimechukua sura mpya na tata na hasa kufuatia uamuzi wa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Kitaifa la Libya linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wa kuanzisha hujuma ya kuuteka mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, mnamo mwezi Aprili 2019 na uingiliaji wa nchi za kigeni kwa ajili ya kuziunga mkono pande hasimu katika mgogoro huo.
-
Sisitizo la Russia juu ya mchango wa Marekani katika magendo ya madawa ya kulevya nchini Afghanistan
Jul 07, 2020 23:49Mwaka 2001 Marekani iliishambulia kijeshi Afghanistan kwa kisingizio cha mashambulio ya Septemba 11 na ikaikalia kwa mabavu nchi hiyo.
-
Sisitizo la Russia la kutatuliwa hitilafu za JCPOA kupitia Kamisheni ya Pamoja
Jul 05, 2020 21:57Licha ya Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya kuahidi kutekeleza ahadi zao katika fremu ya mapatano ya JCPOA, lakini pande mbili hizo zimeshindwa kabisa kutekeleza ahadi hizo.
-
Lawama kali za Russia kwa azimio lililopendekezwa na Marekani la kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Jul 03, 2020 07:02Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za kukabiliana na nguvu za kiulinzi na kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu zinazozidi kuongezeka siku hadi siku, serikali ya Donald Trump huko Marekani imeanzisha kampeni kubwa ya kimataifa ya kuzuia kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kwa mujibu wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.