-
Ayatullah Kashani awataka Waislamu kushikamana
Jun 17, 2016 09:52Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa Tehran ameyatolea mwito mataifa yote ya Waislamu kushikamana na kuwa kitu kimoja mbele ya njama za ustikbari na Uzayuni wa kimataifa dhidi ya Dini Tukufu ya Uislamu.
-
Saudia inaunga mkono ugaidi na kuua watu wasio na hatia Yemen
Jun 10, 2016 09:33Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema: Jinai za utawala wa Saudia dhidi ya watu wasio na hatia Yemen na uungaji mkono wake kwa ugaidi katika eneo ni mambo yanayofanyika kwa mashali ya madola ya kiistikbari na Uzayuni wa kimataifa.
-
Imam Khomeini alileta taswira sahihi ya Uislamu
Jun 03, 2016 09:40Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya hapa Tehran amesema, Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini MA, aliisafisha taswira ya Uislamu kutokana na upotoshaji hatari wa Marekani, wa kutenganisha dini na siasa.
-
'Waislamu wakabiliane na magaidi na tawala vibaraka wa Marekani, Israel'
May 20, 2016 11:57Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran ametoa wito kwa Waislamu kukabiliana na makundi ya kigaidi pamoja na serikali vibaraka ambazo zinapata uungaji mkono wa Marekani na Utawala wa Kizayuni katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Ayatullah Kermani: Vitisho haviwezi kuifanya Iran isalimu amri mbele ya matakwa ya Marekani
May 13, 2016 11:45Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, vitisho vya Marekani haviwezi kuifanya Iran isalimu amri mbele ya matakwa ya kutotosheka ya Washington
-
Kermani: Marekani imekiuka mapatano ya nyuklia na Iran
Apr 22, 2016 11:08Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema hatua za hivi karibuni za Marekani dhidi ya Iran ni ukiukwaji wa wazi wa mapatano ya nyuklia baina ya Iran na madola sita makubwa duniani.
-
Iran haitosalimu amri mbele ya madola ya kibeberu
Mar 25, 2016 11:21Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesistiza kuwa taifa la Iran halitosalimu amri mbele ya matakwa ya madola ya kibeberu.
-
Ayatullah Kermani: Vikosi vya ulinzi vijizatiti kwa silaha za kisasa
Mar 18, 2016 13:25Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya mjini Tehran Ayatullah Muhammad Ali Movahedi-Kermani amesema kuna ulazima wa vikosi vya ulinzi kujizatiti kwa silaha za kisasa kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya maadui.
-
Ayatullah Kermani: Vikosi vya ulinzi vijizatiti kwa silaha za kisasa
Mar 18, 2016 13:07Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya mjini Tehran Ayatullah Muhammad Ali Movahedi-Kermani amesema kuna ulazima wa vikosi vya ulinzi kujizatiti kwa silaha za kisasa kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya maadui.
-
Kujitokeza Wairani katika uchaguzi ni ishara ya ufahamu
Feb 26, 2016 12:45Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema kujitokeza kwa wingi Wairani katika chaguzi mbili za leo ni ishara ya kuwa hai na kuwa na ufahamu na uelewa taifa la Iran.