-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Ulimwengu wa Magharibi una wasiwasi kuhusu mvuto wa Uislamu
Jan 27, 2023 09:00Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema: "Ulimwengu wa makafiri unauogopa Uislamu, na ulimwengu wa Magharibi una wasiwasi kuhusu mvuto wa Uislamu."
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Taifa la Iran limeshinda njama za maadui
Dec 02, 2022 08:30Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya mjini Tehran amezungumzia misimamo ya Iran dhidi ya madola ya kibeberu na kusema kuwa, wananchi wa Iran wamegeuza vitisho vyote vya mabeberu kuwa fursa.
-
Akhlaqi Katika Uislamu (18)
Nov 06, 2022 11:35Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya 18 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Alkhamisi tarehe 13 Oktoba 2022
Oct 12, 2022 23:01Leo ni Alkhamisi tarehe 16 Rabiul Awwal 1444 Hijria sawa na tarehe 13 Oktoba 2022.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran haitalegeza msimamo mbele ya adui
Aug 26, 2022 06:08Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia katu haitalegeza msimamo mbele ya adui ili taifa hili liondolewe vikwazo vya kidhalimu vya Marekani.
-
Ayatullah Khatami: Maadui wanataka kudhoofisha umoja wa Waislamu
Jul 08, 2022 06:32Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa Tehran amesema maadui wanafanya juu chini kupunguza na kudhoofisha umoja wa umma wa Kiislamu kwa kutumia mbinu mbalimbali.
-
Hujjatul Islam Akbari: Umma upambanue habari za kweli na urongo za vyombo vya habari
Jun 17, 2022 07:00Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ameuasa umma wa Kiislamu ujue kupambanua na kutofautisha habari za kweli na zisizo sahihi zinazotangazwa au kuchapishwa na vyombo mbalimbali vya habari.
-
Hujjatul Islam Kazem Seddiqi : Muqawama wa Lebanon ulivunja pembe ya Wamarekani
May 27, 2022 06:40Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ametoa pongezi kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 22 ya ushindi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon dhidi Wazayuni na kusema, Wazayuni walionja ladha chungu ya kwanza ya kushindwa baada ya kuondoka kwa madhila huko kusini mwa Lebanon.
-
Ayatullah Khatami: Safari ya Rais Bashar al-Assad nchini Iran ilikuwa ya kimkakati
May 13, 2022 06:46Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, safari ya hivi karibuni ya Rais Bashar al-Assad wa Syria nchini Iran ilikuwa ya kimkakati.
-
Maimamu wa Ijumaa Iran: SEPAH ni mwiba kwa adui na tumaini kwa Waislamu wote
Apr 22, 2022 22:24Maimamu wa Sala za Ijumaa zilizosaliwa jana kote nchini Iran walisema katika khutba zao kuwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ni mwiba katika macho ya maadui na ni tumaini jema kwa kila Muislamu ulimwenguni.