Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sala ya Ijumaa

  • Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (25) +SAUTI

    Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (25) +SAUTI

    Jul 18, 2021 01:09

    Karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ambacho huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao.

  • Jumatatu tarehe Pili Novemba 2020

    Jumatatu tarehe Pili Novemba 2020

    Nov 01, 2020 23:01

    Leo ni Jumatatu tarehe 16 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1442 Hijria sawa na Novemba Pili mwaka 2020.

  • Kufanyika swala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti wa Hagia Sophia

    Kufanyika swala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti wa Hagia Sophia

    Jul 26, 2020 02:02

    Sala ya kwanza ya Ijumaa ilisaliwa Ijumaa katika msitiki wa Hagia Sophia nchini Uturuki tarehe 24 mwezi huu wa Saba baada ya miaka 86 kwa kuhudhuriwa na rais, viongozi wa serikali na pia wananchi wa nchi hiyo.

  • Sala ya Ijumaa yasaliwa katika miji 157 ya Iran baada ya kusimamishwa kwa zaidi ya miezi 2

    Sala ya Ijumaa yasaliwa katika miji 157 ya Iran baada ya kusimamishwa kwa zaidi ya miezi 2

    May 08, 2020 03:49

    Sala ya Ijumaa inatazamiwa kusaliwa hii leo katika miji 157 na mikoa 21 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, baada ya kusimamishwa tokea mapema mwezi Machi mwaka huu kutokana na mripuko wa virusi vya corona.

  • Sala ya Ijumaa yaghairishwa katika mikoa 23 ya Iran kwa sababu ya mripuko wa kirusi cha corona

    Sala ya Ijumaa yaghairishwa katika mikoa 23 ya Iran kwa sababu ya mripuko wa kirusi cha corona

    Feb 28, 2020 04:02

    Sala ya Ijumaa ya leo katika baadhi ya mikoa ya Iran imeghairishwa kutokana na mripuko wa kirusi cha corona.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Muamala wa Karne ni fedheha kwa Trump

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Muamala wa Karne ni fedheha kwa Trump

    Feb 14, 2020 08:36

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa Tehran amesema mpango wa 'Muamala wa Karne' ni fedheha kubwa na kashfa kwa Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Ayatullah Kashani: Mapinduzi ya Kiislamu yamezuia ubeberu wa Marekani na utawala wa Kizayuni

    Ayatullah Kashani: Mapinduzi ya Kiislamu yamezuia ubeberu wa Marekani na utawala wa Kizayuni

    Feb 07, 2020 10:55

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, lau kama si Mapinduzi ya Kiislamu hii leo Marekani na utawala haramu wa Israel zingekuwa zinaidhibiti Iran na ulimwengu wa Kiislamu.

  • Wairani waandamana nchi nzima kulaani ghasia za hivi karibuni

    Wairani waandamana nchi nzima kulaani ghasia za hivi karibuni

    Nov 22, 2019 10:28

    Raia wa Iran wamefanya maandamano makubwa baada ya swala ya Ijumaa kwa kupiga nara za 'Mauti kwa Marekani', 'Mauti kwa Israel' na 'Mauti kwa wafanya vurugu' ambapo pia sambamba na kutangaza kujitenga mbali na wafanya ghasia na kuchukia vitendo viovu vya kuibua machafuko nchini, wametangaza kuunga mkono usalama na amani nchini.

  • Alkhamisi tarehe 14 Novemba 2019

    Alkhamisi tarehe 14 Novemba 2019

    Nov 13, 2019 23:11

    Leo ni Alkhamisi tarehe 16 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1441 Hijria sawa na Novemba 14 mwaka 2019.

  • Sheikh Siddiqi: Kujihami kutakatifu taifa la Iran kumeacha athari katika historia ya leo

    Sheikh Siddiqi: Kujihami kutakatifu taifa la Iran kumeacha athari katika historia ya leo

    Sep 27, 2019 09:07

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, miaka minane ya kujihami kutakatifu taifa la Iran mbele ya uchokozi wa utawala wa dikteta Saddam wa Iraq kumeacha athari katika historia ya leo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS