-
Alkhamisi tarehe 14 Novemba 2019
Nov 13, 2019 23:11Leo ni Alkhamisi tarehe 16 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1441 Hijria sawa na Novemba 14 mwaka 2019.
-
Sheikh Siddiqi: Kujihami kutakatifu taifa la Iran kumeacha athari katika historia ya leo
Sep 27, 2019 09:07Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, miaka minane ya kujihami kutakatifu taifa la Iran mbele ya uchokozi wa utawala wa dikteta Saddam wa Iraq kumeacha athari katika historia ya leo.
-
Maandamano ya wananchi wa Algeria yaendelea chini ya ulinzi mkali
Jul 06, 2019 06:26Maelfu ya wananchi wa Algeria wanaendelea na maandamano yao ya nchi nzima chini ya ulinzi mkali kushinikiza kufukuzwa serikalini mabaki yote ya utawala wa Abdulaziz Bouteflika, rais wa nchi hiyo aliyelazimika kujiuzulu kutokana na maandamano makubwa ya wananchi.
-
Ayatullah Khatami: Siri ya taifa la Iran kuishinda Marekani ni umoja na mshikamano
May 03, 2019 06:57Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, muono wa mbali, kuwa na mahudhurio katika medani, kusimama kidete, umoja na mshimano ndio siri ya ushindi wa taifa la Iran mbele ya Marekani na washirika wake.
-
Ayatullah Kashani: Taifa la Iran halitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya maadui
Mar 15, 2019 12:17Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema maadui wamekuwa wakitumia njama mbalimbali kama za kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni ili kutoa pigo kwa mfumo wa Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran, lakini amesisitiza kuwa, katu taifa kubwa la Iran haliwezi kusalimu amri mbele ya mashinikizo ya maadui.
-
Wapalestina zaidi ya elfu 40 washiriki Swala ya Ijumaa katika msikiti wa al Aqsa
Mar 08, 2019 12:12Makumi ya maelfu ya Wapalestina leo Ijumaa wameshiriki katika Swala ya Ijumaa katika msikiti wa al Aqsa licha ya kuchukuliwa hatua kali za kiusalama na utawala wa Kizayuni.
-
Ayatullah Movahedi-Kermani: Safari ya Rais Assad hapa Tehran inaonyesha uwezo mkubwa wa Iran
Mar 01, 2019 12:51Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, safari ya Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Tehran ni tukio la kihistoria linaloakisi uwezo mkubwa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo zima la Mashariki ya Kati.
-
Jumamosi, 24 Novemba, 2018
Nov 23, 2018 23:12Leo ni Jumamosi tarehe 16 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1440 Hijria, mwafaka na tarehe 24 Novemba 2018 Miladia.
-
Ayatullah Movahhedi Kermani: Lengo la maadui ni kuleta hali ya kukatisha tamaa kwa wananchi
Sep 28, 2018 11:07Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, lengo la njama kubwa za maadui na hatua yao ya kuanzisha vita vya kila upande vya kiuchumi na kisaikolojia ni kuwakatisha tamaa na kuwachokesha wananchi wa Iran ambao daima wamekuwa na mahudhurio makubwa katika medani za masuala ya Iran ya Kiislamu.
-
Ayatullah Kashani: Trump ataingia kaburini na ndoto yake ya kutaka kuliteka eneo la Mashariki ya Kati
Sep 07, 2018 10:24Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema, rais wa Marekani, Donald Trump na wapambe wake karibuni hivi wataangamia na ndoto yao ya kutaka kuliteka eneo la Mashariki ya Kati