-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran asema Marekani, Israel zitajuta zikijaribu kuichokoza Iran
Aug 24, 2018 09:42Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Marekani ina wasiwasi kuhusu usalama wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kuongeza kwamba, iwapo Marekani na utawala wa Kizayuni zitachukua hatua yoyote ya kijinga ya kuichokoza Iran, basi zitajuta kwani maelfu ya makombora ya muqawama yataungamiza mji wa Tel Aviv.
-
Siddiqui: Iran haitafanya mazungumzo na serikali na rais wa sasa Marekani
Aug 03, 2018 11:08Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amesema Wamarekani si watu wa kufanya nao mazungumzo na iwapo kuna siku Iran itafanya mazungumzo basi si na rais na serikali ya sasa ya Marekani.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran asisitiza kuhusu kupambana na kila aina ya ufisadi
Jul 20, 2018 09:33Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesisitiza kuhusu kukabiliana vikali na kila aina ya ufisadi.
-
Maelefu ya Wapalestina washiriki Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds
Jun 08, 2018 09:23Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Ijumaa ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Maandamano ya wananchi wa Iran baada ya Sala ya Ijumaa kupinga Marekani
May 10, 2018 23:52Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wanatazamiwa kushiriki katika maandamano makubwa baada ya Sala ya Ijumaa kulaani Marekani na sera zake za kiistikbari na ukiukaji wa ahadi.
-
Sayyid Aboutorabi: Kwa miongo yote minne taifa la Iran limepambana vikali na udhalimu
Apr 27, 2018 09:20Mohammad-Hassan Aboutorabi Fard, khatibu wa swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amezungumzia njama za Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kuharibu makubaliano ya nyuklia (JCPOA) na kusema, kwa miongo minne taifa la Iran limepambana na hatua za kiuhasama na kidhalimu zikiwemo za Marekani.
-
Brigedia Salami: Jeshi la SEPAH la Iran ni ngao madhubuti kwa umma mzima wa Kiislamu
Apr 20, 2018 23:06Kaimu Kamanda Mkuu wa jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa, tangu jeshi hilo lilipovaa mavazi ya jihadi, limekuwa ngao imara kwa umma wote wa Kiislamu.
-
Ayatullah Khatami: Adui anafanya njama za kulivunja moyo taifa la Iran
Jan 26, 2018 13:21Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa njama za maadui wa Uislamu sasa zimeelekezwa katika mitandao ya kijamii na wanafanya jitihada za kulivunja moyo na kulikosesha matumaini taifa la Iran.
-
Khatami: Fujo za Iran zimechochewa na Marekani na waitifaki wake
Jan 05, 2018 11:45Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema, fujo ambazo zimeshuhudiwa siku za hivi karibuni mjini Tehran zinaashiria kuwepo uchochezi wa Marekani na vibaraka wake.
-
Serikali ya Ufaransa yawawekea Waislamu vizuizi vipya wasiweze kusali Sala ya Ijumaa katika mji wa Paris
Nov 20, 2017 04:15Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa Gerard Collomb amesema ni marufuku kusali Sala la Ijumaa katika eneo la Clichy kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.