-
Ayatullah Kermani: Marekani ni kinara wa jinai, mipango ya Trump ni ya kipumbavu
Nov 03, 2017 10:51Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo Tehran amesema Wamarekani ni wenye kuvunja ahadi na kuongeza kuwa, Marekani ni kinara wa uhaini na jinai zote duniani.
-
Iran itatoa jibu linalofaa kwa uadui wa Marekani
Oct 13, 2017 12:03Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran ameashiria kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan la Iraq na kusema kuwa, adui amegonga mwamba katika njama yake ya kuunda kile kinachodaiwa kuwa ni 'Mashariki ya Kati Mpya.'
-
Mpango wa kujitenga Kurdistan na Iraq ni njama za Wazayuni
Sep 29, 2017 10:56Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa Tehran amesema, kura ya maoni ya kujitenga na Iraq eneo la Kurdistan ni njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Askari wa Bahrain wazuia Swala ya Ijumaa kwa wiki ya 62 mtawalia huko al Deraz
Sep 22, 2017 12:53Askari usalama wa Bahrain leo Ijumaa wamezuia kufanyika Swala ya Ijumaa katika eneo la al Deraz katika mji mkuu wa nchi hiyo, Manama kwa wiki ya 62 mtawalia.
-
Ayatullah Movahhedi Kermani: Mataifa ya Kiislamu yaamke dhidi ya jinai za Mabudha wa Myanmar
Sep 08, 2017 14:24Hatibu wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa hakuna matumaini ya kuona taasisi za kimataifa zikisaidia kuzuia mauaji ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar na ameyataka mataifa ya Kiislamu kuamka na kusimama kidete dhidi ya jinai zinazofanywa na jeshi na Mabudha wa nchi hiyo.
-
Utawala wa Bahrain waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa
Sep 01, 2017 10:33Vikosi vya usalama nchini Bahrain leo vimewazuia tena Waislamu wa eneo la Diraz kusali Sala ya Ijumaa.
-
Ayatullah Khatami: Marekani inaongoza duniani kwa kukiuka haki za binadamu
Aug 18, 2017 10:19Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ameashiria jinai za kibaguzi nchini Marekani na kusema kuwa, Marekani inaongoza duniani kwa kukiuka haki za binadamu na kwamba, viongozi wa nchi hiyo wanapaswa kuona haya na aibu kuzungumzia suala la haki za binadamu katika nchi nyingine.
-
Khatibu: Makombora ya IRGC yalikuwa jibu muafaka kwa magaidi
Jun 30, 2017 09:45Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran Ayatullah Imami Kashani amesema hatua ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, IRGC, kushambulia kwa makombora ngome za magaidi wa ISIS nchini Syria ilikuwa ni jibu muafaka na adhabu kwa magaidi hao wakufurishaji.
-
Kermani: Kushikamana na Uislamu na Qur'an ndio mafanikio ya Iran
Jun 16, 2017 10:57Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran, Ayatullah Muhammad Ali Muvahhedi Kermani amesema kuwa, Marekani ndiye adui mkuu wa taifa la Iran na kwamba, kushikamana na misingi ya dini ya Uislamu na Qur'an Tukufu ndiko kulikoiwezesha Jamhuri ya Kiislamu kusimama imara mbele ya Marekani na maadui wengine.
-
Alaeddin Boroujerdi: Marekani ni mpangaji mkuu wa njama dhidi ya Iran
Jun 09, 2017 23:27Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mashambulio ya kigaidi ya siku ya Jumatano hapa mjini Tehran na kusema kuwa, hapana shaka kuwa, mpangaji mkuu wa njama hiyo ni Marekani mtenda jinai.