Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sala ya Ijumaa

  • Sala ya kwanza ya Ijumaa Mwezi wa Ramadhani katika Msikiti wa Al Aqsa

    Sala ya kwanza ya Ijumaa Mwezi wa Ramadhani katika Msikiti wa Al Aqsa

    Jun 02, 2017 09:52

    Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika sala ya Ijumaa ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika Msikiti wa Al Aqsa kwenye mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel huku ya wanajeshi wa utawala huo wa Kizayuni wakiwa wameweka sheria kali za kuwabana Waislamu.

  • Ayatullah Khatami: Bahrain imegeuzwa kuwa jela kubwa ya wananchi

    Ayatullah Khatami: Bahrain imegeuzwa kuwa jela kubwa ya wananchi

    May 26, 2017 09:31

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran sambamba na kulaani hujuma na uvamizi wa vikosi vya usalama vya Bahrain dhidi ya nyumba ya Sheikh Issa Qassim mwanazuoni mashuhuri wa nchi hiyo ametangaza kuwa, utawala wa Aal khalifa kwa kufanya ukandamizaji, kamatakamata na aina mbalimbali za jinai, umeigeuza nchi hiyo na kuwa jela kubwa kwa ajili ya wananchi.

  • Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mahudhurio makubwa ya wananchi katika uchaguzi yatadhihirisha nguvu ya Iran

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mahudhurio makubwa ya wananchi katika uchaguzi yatadhihirisha nguvu ya Iran

    Apr 21, 2017 11:53

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa kushiriki kwa wingi wananchi wa Iran katika uchaguzi ujao, kutaonyesha nguvu na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Ayatullah Siddiqi: Hujuma ya Marekani huko Syria, ni kinyume cha sheria za kimataifa

    Ayatullah Siddiqi: Hujuma ya Marekani huko Syria, ni kinyume cha sheria za kimataifa

    Apr 14, 2017 10:35

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa, shambulizi la Marekani nchini Syria siku ya Ijumaa iliyopita, linakinzana na sheria zote za kimataifa.

  • Ayatullah Kashani: Waungaji mkono wa magaidi, ndio waliotekeleza mashambulizi ya kemikali huko Syria

    Ayatullah Kashani: Waungaji mkono wa magaidi, ndio waliotekeleza mashambulizi ya kemikali huko Syria

    Apr 07, 2017 08:32

    Imamu wa Muda wa Sala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa Marekani na waungaji mkono wa magaidi katika eneo wanayapatia silaha na mada za kemikali makundi ya kigaidi huko Syria.

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran awataka wananchi kushiriki kwa wingi katika uchaguzi ujao

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran awataka wananchi kushiriki kwa wingi katika uchaguzi ujao

    Mar 24, 2017 11:54

    Imamu wa Muda wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesisitiza udharura wa wananchi kushiriki kwa wingi katika uchaguzi ujao wa Rais na mabaraza ya miji ya vijiji uliopangwa kufanyika tarehe 19 mwezi Mei mwaka huu na kueleza kuwa, kushiriki idadi kubwa ya wananchi katika uchaguzi ujao kutaimarisha utambulisho wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.

  • Ayatullah Kermani: Kimya cha taasisi za kimataifa mbele ya ukiukwaji wa haki za binadamu kimeharibu hadhi ya taasisi hizo

    Ayatullah Kermani: Kimya cha taasisi za kimataifa mbele ya ukiukwaji wa haki za binadamu kimeharibu hadhi ya taasisi hizo

    Mar 17, 2017 12:54

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika jiji la Tehran amesema kuwa kimya cha taasisi za kimataifa mkabala na mauaji ya Waislamu duniani yakiwemo mauaji ya Waislamu wa Rohingya huko Myanmar na jinai za Saudi Arabia huko Yemen, kimezifanya taasisi hizo za kimataifa eti za kutetea haki za binadamu zipoteza heshima na hadhi yao.

  • Jumanne Machi 14, 2017

    Jumanne Machi 14, 2017

    Mar 14, 2017 04:56

    Leo ni Jumanne tarehe 15 Jamadithani 1438 Hijria sawa na Machi 14, 2017.

  • Ayatullah Kermani: Kadhia ya Palestina; kipaumbele cha Iran na Ulimwengu wa Kiislamu

    Ayatullah Kermani: Kadhia ya Palestina; kipaumbele cha Iran na Ulimwengu wa Kiislamu

    Feb 24, 2017 10:37

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo katika mji wa Tehran amesema kuwa kadhia ya Palestina inapewa uzito katika siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ni kipaumbele cha Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Iran ya Kiislamu imevunja njama zote za maadui wake

    Iran ya Kiislamu imevunja njama zote za maadui wake

    Feb 17, 2017 11:01

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema kuwa uwezo wa Iran ya Kiislamu ndio uliovunja njama zote za maadui dhidi ya nchi hii.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS