Pars Today
Mwanaharakati mwanamke mtetezi wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia ambaye amefungwa jela kwa kupigania kuondolewa marufuku ya wanawake kuendesha gari sasa anakabiliwa na mashtaka ya kufanya ujasusi kwa manufaa ya baadhi ya nchi za Ulaya.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, makundi yote ya kigaidi katika eneo la Asia Magharibi yamepewa mafunzo ya elimu katika madrasa zinazofadhiliwa kifedha na Saudi Arabia.
Baraza la Maulamaa Wakuu wa Saudi Arabia limeiita harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin ya Misri "kundi la kigaidi" na kudai kwamba fikra zote za kufurutu mpaka katika Uislamu zimetokana na harakati hiyo.
Maulamaa nchini Afghanistan wamekosoa vikali kimya cha Saudi Arabia mbele ya kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW.
Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International limesema, mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS aliyeko jela nchini Saudi Arabia anaishi kwenye mazingira yasiyo ya kibinadamu.
Serikali ya Saudi Arabia imetangaza kuwa itaanza kupokea mahujaji wa kigeni wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu kwa ajili ya ibada ya Umra mwezi mmoja ujao baada ya ibada hiyo kusitishwa kwa miezi 8.
Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema: Utawala wa Kizayuni unapanga njama ya kuigawanya vipande vipande Saudi Arabia.
Bunge la Ulaya limetoa wito wa kupasishwa muswada wa kusitishwa uuzaji wa silaha kwa nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
Mfalme Salman bin Abdul-aziz wa Saudi Arabia amesema, nchi yake itaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa sharti la kuundwa kwanza nchi huru ya Palestina.
Umoja wa Mataifa umeeleza katika ripoti kuwa, muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia unatumia mabomu yaliyopigwa marufuku ya vishada katika mashambulio yake dhidi ya mji wa al Hudaydah, magharibi mwa Yemen.