-
Saudia yabadilisha vitabu vya masomo ili kuuridhisha utawala wa Kizayuni
Dec 20, 2020 23:29Duru za habari zimearifu kuwa, Saudi Arabia imebadilisha vitabu vya masomo ya wanafunzi wa shule nchini humo kulingana na matakwa ya utawala haramu wa Kizayuni.
-
Bin Salman na Bin Zayed wafanya kikao cha faragha kuijadili Qatar
Dec 20, 2020 10:28Baadhi ya duru za kuaminika zimeripoti kuwa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia na mwenzake wa Imarati (UAE) wamefanya kikao cha faragha cha kuzungumzia kadhia ya Qatar.
-
Mwanaharakati mwanamke wa Saudia sasa atuhumiwa kufanya ujasusi dhidi ya nchi hiyo
Dec 06, 2020 03:46Mwanaharakati mwanamke mtetezi wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia ambaye amefungwa jela kwa kupigania kuondolewa marufuku ya wanawake kuendesha gari sasa anakabiliwa na mashtaka ya kufanya ujasusi kwa manufaa ya baadhi ya nchi za Ulaya.
-
Khatibzadeh: Uhawabi ndio chimbuko la chuki na ugaidi katika eneo na nje yake
Dec 04, 2020 03:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, makundi yote ya kigaidi katika eneo la Asia Magharibi yamepewa mafunzo ya elimu katika madrasa zinazofadhiliwa kifedha na Saudi Arabia.
-
Baraza la Maulamaa Wakuu wa Saudia laishambulia vikali Ikhwanul Muslimin ya Misri
Nov 11, 2020 11:33Baraza la Maulamaa Wakuu wa Saudi Arabia limeiita harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin ya Misri "kundi la kigaidi" na kudai kwamba fikra zote za kufurutu mpaka katika Uislamu zimetokana na harakati hiyo.
-
Kukosoa Maulamaa wa Afghanistan kimya cha Saudi Arabia mbele ya kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW
Nov 01, 2020 23:02Maulamaa nchini Afghanistan wamekosoa vikali kimya cha Saudi Arabia mbele ya kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW.
-
Amnesty: Mwakilishi wa HAMAS aliyeko jela Saudia amewekwa kwenye mazingira yasiyo ya kibinadamu
Oct 06, 2020 00:11Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International limesema, mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS aliyeko jela nchini Saudi Arabia anaishi kwenye mazingira yasiyo ya kibinadamu.
-
Saudia kupokea mahujaji wa ibada ya Umra mwezi mmoja ujao
Oct 03, 2020 23:16Serikali ya Saudi Arabia imetangaza kuwa itaanza kupokea mahujaji wa kigeni wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu kwa ajili ya ibada ya Umra mwezi mmoja ujao baada ya ibada hiyo kusitishwa kwa miezi 8.
-
Amir-Abdollahian: Israel inapanga njama ya kuigawanya vipande vipande Saudi Arabia
Oct 02, 2020 04:37Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema: Utawala wa Kizayuni unapanga njama ya kuigawanya vipande vipande Saudi Arabia.
-
Bunge la Ulaya lataka kusitishwa mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia na Imarati
Sep 15, 2020 07:30Bunge la Ulaya limetoa wito wa kupasishwa muswada wa kusitishwa uuzaji wa silaha kwa nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).