-
Gazeti la Marekani: Hakuna nchi yoyote inayoifikia Saudia kwa kuunga mkono ugaidi
Sep 30, 2018 04:34Gazeti la The Boston Globe linalochapishwa nchini Marekani limekosoa siasa za undumakuwili za serikali ya nchi hiyo kuhusiana na ugaidi na kueleza kwamba hakuna nchi yoyote duniani ambayo imeifikia Saudi Arabia kwa kuunga mkono ugaidi.
-
Jumapili, 30 Septemba, 2018
Sep 29, 2018 21:55Leo ni Jumapili tarehe 20 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria, mwafaka na tarehe 30 Septemba mwaka 2018 Miladia.
-
Answarullah yakosoa vikali uhusiano wa Saudia na Israel; yasema tutaendelea kuwaunga mkono Wapalestina
Sep 27, 2018 03:55Msemaji wa harakati ya Answarullah ya nchini Yemen amekosoa vikali kitendo cha viongozi wa Saudia, Imarati na Bahrain cha kuonana na mkuu wa shirika la kijasusi la Israel huko New York Marekani na kusisitiza kuwa, wananchi wa Yemen hawatowaacha mkono kamwe ndugu zao Wapalestina.
-
Jumapili, Septemba 23, 2018
Sep 23, 2018 09:54Leo ni Jumapili tarehe 13 Muharram 1440 Hijria, sawa na 23 Septemba 2018, Miladia.
-
Mazungumzo ya Waziri Mkuu wa Pakistan na viongozi wa Saudi Arabia
Sep 21, 2018 03:23Katika safari yake nchini Saudi Arabia Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan amekutana na kufanya mazungumzo na Mfalme Salman bin Abdul Aziz pamoja na Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo.
-
Mshikamano wa Saudia na magaidi wa MKO, fitna nyingine za Aal Saud Mashariki ya Kati
Sep 20, 2018 03:08Kiongozi mmoja mkubwa wa zamani wa genge la kigaidi la MKO lenye historia ya kufanya ugaidi, mauaji na jinai kubwa dhidi ya wananchi na viongozi wa Iran amefichua namna Saudi Arabia inavyolisaidia kifedha genge hilo.
-
Saudia yachukua mkopo wa dola bilioni 11 kugharimia vita dhidi ya Yemen
Sep 18, 2018 09:38Wakati vita vilivyoanzishwa na Saudi Arabia dhidi ya wananchi wa Yemen vikiwa vinaendelea, Mfuko wa Kifalme wa nchi hiyo umetangaza kuwa utawala wa Riyadh umepokea mkopo wa kwanza wa kimataifa wa dola bilioni 11 kwa ajili ya kulipia deni la nchi hiyo.
-
Viongozi wa Eritrea na Ethiopia wasaini makubaliano ya amani, uhusiano wazidi kuimarika
Sep 17, 2018 10:52Viongozi wa Ethiopia na Eritrea wametia saini makubaliano ya amani huku uhusiano wa nchi hizo mbili jirani zilizokuwa na uadui mkubwa ukizidi kuimarika siku baada ya siku.
-
Ndege za kivita za Saudia zaua watu 15 Hudaydah, Yemen
Sep 15, 2018 09:28Watu wasiopungua 15 wamepoteza maisha kufuatia hujuma ya ndege za kivita za Saudia katika barabara ya kistratijia inayounganisha mji mkuu wa Yemen, Sana'a na mji wa bandarini wa Hudaydah magharibi mwa nchi hiyo.
-
Msemaji wa Ansarullah: Vita vya Yemen ni wenzo wa kufanikisha "Muamala wa Karne"
Sep 14, 2018 19:28Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa vita vya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen ni kibiashara inayotumiwa na Marekani ili kuendeleza njama mpya ya Washington na Wazayuni ya "Muamala wa Karne" dhidi ya Palestina.