Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Marekani yafichua: Saudia iliunga mkono mapatano ya Camp David kati ya Misri na Israel

    Marekani yafichua: Saudia iliunga mkono mapatano ya Camp David kati ya Misri na Israel

    Jun 03, 2018 10:26

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa nyaraka zinazofichua uungaji mkono wa utawala wa Saudi Arabia kwa mazungumzo ya mapatano kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Misri na Jordan katika enzi za utawala wa Anwar Sadat nchini Misri.

  • Saudia yashadidisha vita dhidi ya Yemen katika Mwezi wa Ramadhani

    Saudia yashadidisha vita dhidi ya Yemen katika Mwezi wa Ramadhani

    Jun 01, 2018 23:39

    Saudi Arabia imeshadidisha mashambulizi yake dhidi ya maeneo ya raia nchini Yemen katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

  • Mtaalamu wa Israel afichua: Israel inaiuzia Saudia taarifa za utaalamu wa silaha za nyuklia

    Mtaalamu wa Israel afichua: Israel inaiuzia Saudia taarifa za utaalamu wa silaha za nyuklia

    Jun 01, 2018 03:14

    Mtaalamu mwandamizi wa masuala ya nyuklia wa utawala wa Kizayuni wa Israel amefichua kwamba utawala huo unaiuzia Saudi Arabia taarifa ambazo zitaiwezesha nchi hiyo ya kifalme kuunda silaha za maangamizi za nyuklia.

  • Wanajeshi zaidi ya 1,000 wa Saudia wameuawa katika vita dhidi ya Yemen

    Wanajeshi zaidi ya 1,000 wa Saudia wameuawa katika vita dhidi ya Yemen

    May 29, 2018 09:19

    Zaidi ya wanajeshi 1,000 wa Saudi Arabia wameuawa katika uvamizi wa nchi hiyo dhidi ya Yemen ulioanza Machi 2015.

  • Mgogoro wa Qatar na nchi za Kiarabu wazidi kutokota, Doha yapiga marufuku bidhaa za Saudia, Imarati, Bahrain na Misri

    Mgogoro wa Qatar na nchi za Kiarabu wazidi kutokota, Doha yapiga marufuku bidhaa za Saudia, Imarati, Bahrain na Misri

    May 27, 2018 00:13

    Katika hali inayoonekana ni kuzidi kuwa mkubwa mgogoro wa Qatar na nchi nne za Kiarabu zilizoizingira kila upande nchini hiyo, wizara ya uchumi na biashara ya Qatar jana ilipiga marufuku kuhifadhi, kunua na kuuza bidhaa yoyote iliyotengenezwa Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, Bahrain na Misri.

  • Ethiopia yamwita nyumbani balozi wake mdogo kutoka Saudia

    Ethiopia yamwita nyumbani balozi wake mdogo kutoka Saudia

    May 24, 2018 02:55

    Vyombo vya habari vya nchi za Kiarabu vimetangaza kuwa, baada ya Ethiopia kumwita nyumbani balozi wake kutoka Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia, imemwita nyumbani pia balozi wake mdogo aliyekuweko mjini Jeddah.

  • Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imewapatia kinga Wazayuni na Wasaudi ya kushambulia raia

    Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imewapatia kinga Wazayuni na Wasaudi ya kushambulia raia

    May 22, 2018 23:55

    Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Kizayuni na ule wa Aal Saud zinaungwa mkono na Marekani kwa kuwa ni mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama katika mashambulio yao dhidi ya raia na kubainisha kuwa Washington imezipatia kinga tawala mbili hizo.

  • Raia karibu 700 wa Ethiopia waliokuwa wamefungwa Saudia warejeshwa kwao

    Raia karibu 700 wa Ethiopia waliokuwa wamefungwa Saudia warejeshwa kwao

    May 21, 2018 03:22

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia imesema kuwa, karibu raia 700 wa nchi hiyo waliokuwa wamefungwa nchini Saudi Arabia, wamerejea nyumbani.

  • Saudia yaanza duru mpya ya kuwakamata wale wanaopinga nchi hiyo kuwa  na uhusiano na Israel

    Saudia yaanza duru mpya ya kuwakamata wale wanaopinga nchi hiyo kuwa na uhusiano na Israel

    May 19, 2018 21:52

    Vyombo vya habari, wanasheria na wanaharakati mbalimbali wameelezea kupitia mitandao ya kijamii juu ya kuanza duru mpya ya kamatakamata ya utawala wa kifalme wa Aal-Saud dhidi ya wapinzani wanaopinga nchi hiyo kuwa na uhusiano na utawala katili wa Kizayuni.

  • Mwanamfalme wa Qatar: Saudia iliyoiuza al-Aqsa kwa adui, haina haki ya kusimamia al-Kaabah

    Mwanamfalme wa Qatar: Saudia iliyoiuza al-Aqsa kwa adui, haina haki ya kusimamia al-Kaabah

    May 19, 2018 09:35

    Mjukuu wa mwasisi wa taifa la Qatar sambamba na kukosoa vikali mienendo ya Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia kwa kuitumikia Marekani na utawala wa Kizayuni, amesema kuwa mtu ambaye ameiuza Masjidul-Aqsa kwa adui wa Uislamu, hafai kuwa msimamizi wa nyumba ya Mwenyezi Mungu ya al-Kaabah.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS