-
Maroketi ya Yemen yasambaratisha kambi ya jeshi ya Saudia, Najran
May 13, 2018 03:27Vikosi vya Jeshi la Yemen vimevurumisha maroketi katika kambi moja ya kijeshi ya Saudi Arabia katika mkoa wa kusini wa Najran, na kuharibu silaha nyingine kikiwemo kifaru cha kijeshi.
-
Saudia yatumia tena mabomu ya vishada 'yaliyopigwa marufuku' dhidi ya raia wa Yemen
May 12, 2018 22:17Shirika la Habari la Al-Masdar News limeripoti kwamba, Saudia imetumia kwa mara nyingine mabomu ya vishada katika maeneo tofauti ya Yemen dhidi ya raia wa taifa hilo.
-
Kushtadi hitilafu baina ya Imarati na Saudi Arabia huko Yemen; Imarati yakivamia kisiwa cha Socotra
May 04, 2018 23:34Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umekivamia na kukikalia kwa mabavu kisiwa cha Socotra huko Yemen na kuvifukuza vikosi vyenye mfungamano na Rais mtoro wa nchi hiyo kisiwani humo.
-
Onyo la Hizbullah ya Lebanon kwa Marekani, Israel na Saudi Arabia
May 02, 2018 21:16Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesisitiza kuwa, Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia haziwezi kukaa kimya baada ya kushindwa njama zao katika nchi za Iraq, Syria na Lebanon.
-
Yemen yaendelea kuandamwa na hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia na washirika wake
May 02, 2018 00:00Ndege za kijeshi za muungano vamizi wa Saudi Arabia zimeendelea kutenda jinai zake dhidi ya wananchi wa Yemen baada ya kushambulia kwa mabomu maeneo mbalimbali ya mkoa wa Sa'dah kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Mwanaharakati wa Kisiasa Kuwait: Saudia ndio muharibifu wa usalama Mashariki ya Kati
May 01, 2018 09:44Mwanaharakati mashuhuri wa kisiasa nchini Kuwait amesambaza video inayoonyesha kuwa Saudia ndiye muhusika mkuu wa machafuko eneo la Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati kwa ujumla.
-
Saudia yawatimua wafanyakazi wa kigeni baada ya kupanda gharama za vita dhidi ya Yemen
Apr 30, 2018 22:15Kufuatia gharamza kubwa za vita vyake dhidi ya watu wa Yemen, sasa Saudia imelazimika kuanza kupunguza wafanyakazi wa kigeni nchini humo.
-
Safari ya Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani nchini Saudia
Apr 30, 2018 22:15Katika safari yake ya kwanza kwa ajili ya kukutana na viongozi wa nchi washirika wa Washington, Mike Pompeo, Waziri Mpya wa Mambo ya Nje wa Marekani ametembelea Riyadh, mji mkuu wa Saudia.
-
Saudia: Tunaunga mkono kuwekewa vikwazo zaidi Iran
Apr 29, 2018 22:11Adel al Jubeir, waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia amesema kuwa Riyadh inaunga mkono kuwekewa vikwazo zaidi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jeshi la Yemen: Saudia iondoe watu kwenye ofisi za serikali na viwanda, tutalipa kisadi damu ya al-Sammad
Apr 25, 2018 09:58Kamandi kuu ya jeshi la Yemen imetoa taarifa kufuatia kuuawa shahidi na muungano vamizi wa Saudia Saleh al-Sammad, Kiongozi wa Baraza Kuu la Kisiasa la nchi hiyo, na kusema Saudia inatakiwa kuhamisha watu haraka kutoka kwenye viituo vyote vya serikali, wizara na viwanda.