Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Safari ya Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani nchini Saudia

    Safari ya Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani nchini Saudia

    Apr 30, 2018 22:15

    Katika safari yake ya kwanza kwa ajili ya kukutana na viongozi wa nchi washirika wa Washington, Mike Pompeo, Waziri Mpya wa Mambo ya Nje wa Marekani ametembelea Riyadh, mji mkuu wa Saudia.

  • Saudia: Tunaunga mkono kuwekewa vikwazo zaidi Iran

    Saudia: Tunaunga mkono kuwekewa vikwazo zaidi Iran

    Apr 29, 2018 22:11

    Adel al Jubeir, waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia amesema kuwa Riyadh inaunga mkono kuwekewa vikwazo zaidi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Jeshi la Yemen: Saudia iondoe watu kwenye ofisi za serikali na viwanda, tutalipa kisadi damu ya al-Sammad

    Jeshi la Yemen: Saudia iondoe watu kwenye ofisi za serikali na viwanda, tutalipa kisadi damu ya al-Sammad

    Apr 25, 2018 09:58

    Kamandi kuu ya jeshi la Yemen imetoa taarifa kufuatia kuuawa shahidi na muungano vamizi wa Saudia Saleh al-Sammad, Kiongozi wa Baraza Kuu la Kisiasa la nchi hiyo, na kusema Saudia inatakiwa kuhamisha watu haraka kutoka kwenye viituo vyote vya serikali, wizara na viwanda.

  • Kiongozi wa Baraza la Kisiasa Yemen auawa katika hujuma ya Saudia

    Kiongozi wa Baraza la Kisiasa Yemen auawa katika hujuma ya Saudia

    Apr 23, 2018 12:33

    Kiongozi wa Baraza Kuu la Kisiasa Yemen, Saleh Saleh al-Sammad ameuawa katika hujuma ya ndege za kivita za Saudia Arabia katika mkoa wa al-Hudydah.

  • Utawala wa Aal Saud wawapiga marufuku mahujaji kuzuru

    Utawala wa Aal Saud wawapiga marufuku mahujaji kuzuru "Pango la Hira"

    Apr 22, 2018 03:37

    Wizara ya Hija na Umra ya Saudi Arabia imepiga marufuku mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Allah kuzuru maeneo ya Mlima Nuru na Pango la Hira.

  • Habari za kutatanisha zagubika tukio la milio ya risasi iliyosikika karibu na kasri la Mfalme wa Saudia

    Habari za kutatanisha zagubika tukio la milio ya risasi iliyosikika karibu na kasri la Mfalme wa Saudia

    Apr 22, 2018 03:29

    Baada ya kimya cha saa kadhaa cha maafisa na vyombo vya habari vya Saudi Arabia kuhusu milio mingi ya risasi iliyosikika jana usiku katika mji mkuu Riyadh, shirika rasmi la habari la nchi hiyo limedai kuwa ufyatuaji huo wa risasi uliotokea ulisababishwa na droni ndogo bandia iliyokuwa ikipaa karibu na kasri la mfalme wa nchi hiyo.

  • Maafisa wanne wa jeshi la Saudia waangamizwa katika mkoa wa 'Asir

    Maafisa wanne wa jeshi la Saudia waangamizwa katika mkoa wa 'Asir

    Apr 19, 2018 23:43

    Maafisa wanne wa jeshi la Saudi Arabia wameangamizwa katika shambulio la ufyatuaji risasi lililotokea kwenye kituo kimoja cha upekuzi mkoani 'Asir kusini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Saudi Arabia yaendelea kuishambulia Yemen kwa mabomu yaliyopigwa marufuku

    Saudi Arabia yaendelea kuishambulia Yemen kwa mabomu yaliyopigwa marufuku

    Apr 19, 2018 09:21

    Saudi Arabia imeendelea na hujuma zake za kijeshi huko Yemen na kuendelea kutumia mabomu yaliyopigwa marufuku kimataifa.

  • Wanawake wahajiri wa Kiafrika wanadhalilishwa kingono katika jela zinazosimamiwa na Saudia na UAE, Aden

    Wanawake wahajiri wa Kiafrika wanadhalilishwa kingono katika jela zinazosimamiwa na Saudia na UAE, Aden

    Apr 19, 2018 03:21

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR yameripoti kuwa wanawake wahajiri wa Kiafrika wanakashifiwa na kudhalilishwa kingono katika mji wa Aden kusini mwa Yemen ambao unadhibitiwa na vikosi vya Imarati (UAE) na Saudi Arabia.

  • HRW: Mamluki wa Imarati wanawabaka wahajiri wa Kiafrika Yemen

    HRW: Mamluki wa Imarati wanawabaka wahajiri wa Kiafrika Yemen

    Apr 18, 2018 03:08

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema mamluki wanaofadhiliwa na kuungwa mkono na Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Yemen wanawabaka na kuwalawiti wahajiri wa kike na kiume raia wa Afrika katika nchi hiyo masikini ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS