-
Jeremy Corbyn: Ishambulieni Saudia pia kwa kuwa imetumia silaha za sumu Yemen
Apr 17, 2018 23:32Kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza ametaka kufanywa mashambulizi ya anga kuilenga Saudia kutokana na nchi hiyo ya Kiarabu kutumia mabomu yaliyopigwa marufuku na Umoja wa Mataifa dhidi ya raia wasio na hatia nchini Yemen.
-
Saudia na Imarati zawafanya mamluki maelfu ya vijana wa Afrika
Apr 17, 2018 09:33Gazeti la al-Quds al-Arabi limeripoti kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu zinataka kuwasajili maelfu ya vijana wa Kiafrika zitakaowatumia katika operesheni zao za nje ya nchi vikiwemo vita dhidi ya Yemen.
-
Morocco yaondoa ndege zake za kivita katika muungano wa Saudia dhidi ya Yemen
Apr 15, 2018 23:41Morocco inapanga kuondoa ndege zake za kivita zilizoko katika muungano wa Saudi Arabia ambao umekuwa ukiihujumu Yemen kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.
-
Kikao cha utangulizi cha wakuu wa nchi za Kiarabu, uchochezi dhidi ya Iran
Apr 13, 2018 21:53Huku akikanusha tuhuma zilizotolewa hivi karibuni dhidi ya Iran kupitia taarifa ya kikao cha nane cha kamati ya pande nne ya Kiarabu huko Saudia, Bahram Qassemi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa tuhuma hizo hazina msingi na kwamba ni za dharau.
-
Nchi zinazoizingira Qatar zakariri madai yao kwa Doha kama sharti la kufungua upya mahusiano
Apr 13, 2018 02:53Kwa mara nyingine nchi nne za Kiarabu zainazoizingira Qatar ambazo ni Saudi Arabia, Bahrain, Imarati na Misri, zimekariri masharti yao 13 kwa serikali ya Doha kama njia ya kufungua upya uhusiano wao na nchi hiyo.
-
Qassemi: Wasaudia sawa na Wazayuni wamekuwa nembo za wavamizi na watenda jinai Mashariki ya Kati
Apr 11, 2018 22:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, watawala wa hivi sasa wa Saudi Arabia wamekuwa ni nembo ya uvamizi na kutenda jinai Mashariki ya Kati sawa kabisa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Alimu mkubwa Tunisia: Fatwa za mamufti wa Kiwahabi, zinalenga kuusambaratisha Uislamu
Apr 11, 2018 00:08Alimu mmoja wa ngazi ya juu wa Kiislamu nchini Tunisia, amesema kuwa fatwa za upotoshaji za mamufti wa Saudia, zinaelekea kuuangamiza umma wa Kiislamu.
-
Saudia inapanga kuigeuza Qatar kisiwa na jalala la takataka za nyuklia
Apr 10, 2018 12:25Saudi Arabia inapanga kuanzisha mradi wa ujenzi wa mfereji kwenye mpaka wake wa pamoja wa ardhini na Qatar ambao utaigeuza nchi hiyo ndogo ya Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi kuwa kisiwa.
-
Wimbi la upinzani wa kuuziwa silaha Saudi Arabia huko Ufaransa
Apr 10, 2018 07:55Malalamiko ya kutaka kusitishwa kuuziwa silaha Saudi Arabia yameshadidi nchini Ufaransa sambamba na safari ya Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Wasomi wa Kiislam Nepal: Aal-Saud waache kutumia vibaya na kisiasa maeneo ya Waislamu
Apr 09, 2018 09:34Wasomi wakubwa wa Kiislamu nchini Nepal wameulaani utawala wa kifalme wa Aal-Saud nchini Saudia kwa hatua yake ya kutumia kisiasa na kwa malengo yao binafsi ibada ya Hijjah na maeneo matukufu ya Waislamu.