-
Askari wa Saudia wanaoshiriki vita Yemen wachoshwa na mienendo hasi ya Bin Salman
Apr 07, 2018 22:24Kufuatia kuzorota usalama wa maeneo ya mpakani ya Saudia kutokana na vita vya muungano vamizi wa nchi za Kiarabu unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen, askari wa Saudia wanaolinda mpaka wameonyesha kukerwa na mienendo mibaya ya Mohammad Bin Salman kwa kutuma video za malalamiko katika mitandao ya kijamii.
-
Marekani yaafiki kuiuzia Saudia silaha licha ya mauaji ya Wayemeni
Apr 06, 2018 03:14Washington imekubali kuiuzia Riyadh mifumo 180 ya mizinga yenye thamani ya dola bilioni 1.31 ikiwa ni katika mwendelezo wa Marekani wa kuiuzia Saudia silaha za mabilioni ya dola.
-
Hujuma ya tatu ya Wayemen iliyolenga Shirika la Aramco, mwaka mgumu wa kivita kwa Saudia
Apr 05, 2018 21:53Vikosi vya Jeshi la Yemen na Kamati za Wananchi kwa mara nyingine vimevurumisha makombora ya balistiki ya Badr ambayo yamelenga kwa mafanikio vituo vya kuzalisha mafuta ya petroli vya Shirika la Aramco la Saudi Arabia katika mji wa Jizan ulio kusini magharibi mwa Saudia.
-
Jeshi la Yemen lashambulia tena kwa kombora Shirika la Mafuta la Saudia Aramco
Apr 05, 2018 03:32Kwa mara nyingine, jeshi la Yemen kwa kushirikiana na Harakati ya Kiislamu ya Answarullah, limeshambulia kwa kombora ghala la kuhifadhia mafuta la Shirika kubwa la Mafuta nchini Saudia Aramco katika mji wa Jizan, kusini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Zarif: Saudia inaendelea 'kukamwa' kwa kutoleshwa fidia na Trump
Apr 04, 2018 22:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Mtindo wa rais wa Marekani wa 'kuikama' Saudi Arabia unaendelezwa bila kusita.
-
Bin Salman aukingia kifua hadharani utawala haramu wa Israel
Apr 03, 2018 09:29Katika hali ambayo jamii ya kimataifa inaendelea kulaani mauaji ya Wapalestina yaliyofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia amejitokeza hadharani na kuutambua utawala huo ghasibu, sambamba na kusisitiza kuwa Wazayuni wana haki juu ya ardhi yao.
-
Katibu Mkuu wa UN atahadahrisha kuhusu hali mbaya nchini Yemen
Apr 03, 2018 09:25Huku Saudia Arabia ikiendeleza hujuma zake za kinyama dhidi ya Yemen, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Saudia yalaumiwa kwa utumwa wanaofanyiwa wanawake wa Mauritania
Apr 02, 2018 21:55Mashirika ya haki za binadamu yamelaumu vikali vitendo viovu wanavyofanyiwa wanawake wa Mauritania nchini Saudi Arabia na kusema kuwa wasichana wadogo wanaofanya kazi nchini Saudia wanageuzwa watumwa.
-
Jeshi la Yemen lashambulia kituo cha Jeshi la Saudia eneo la Jizan
Apr 02, 2018 03:07Jeshi la Yemen likishirikiana na wapiganaji wa Harakati ya Ansarullah wamevurumisha kombora la balisitiki ndani ya ardhi ya Saudi Arabia na kulenga kituo cha kijeshi katika eneo la Jizan.
-
Israel imetegemea fatuwa za Mashekhe wa Saudia kuwaua Wapalestina
Mar 31, 2018 11:37Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel linasema linawaua Wapalestina wanaoandamana kwa kutegemea fatuwa ya mashekhe wa Kiwahhabi kutoka Saudi Arabia.