-
Iran na muono wake wa mbali kuhusu mgogoro wa Yemen; US, UK, Ufaransa washiriki wa jinai zinazotendwa Yemen
Mar 31, 2018 01:42Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, lengo la wimbi jipya la tuhuma za Saudi Arabia dhidi ya Iran ya kwamba eti Tehran inatuma silaha nchini Yemen, ni kujaribu kuzipotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai zinazoongozwa na Saudia huko Yemen.
-
Mazungumzo kati ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia na Katibu Mkuu wa UN
Mar 29, 2018 06:51Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia tarehe 27 Machi alikutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres katika makao makuu ya umoja huo mjini New York.
-
Jaji wa New York: Saudia lazima ijibu mashtaka ya kuhusika na hujuma za 9/11
Mar 29, 2018 01:54Jaji katika mahakama moja nchini Marekani ametoa hukumu na kusema Saudi Arabia lazima ijibu mashtaka ya kuhusika katika kusadia hujuma za kigaidi za Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani.
-
Gholamali Khoshroo aitaka Saudi Arabia iachane na vita
Mar 28, 2018 02:51Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia uachane na hatua zake za vita.
-
Aghalabu ya wananchi wa Ufaransa wanataka nchi yao iache kuiuzia silaha Saudia
Mar 26, 2018 10:31Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni umeonyesha kuwa asilimia 75 ya wananchi wa Ufaransa wanataka nchi yao isimamishe uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia, Imarati na nchi nyingine zinaoendesha vita haribifu huko Yemen.
-
Iraq: Saudia ituombe radhi kwa kutuma magaidi elfu 5 nchini
Mar 25, 2018 06:18Muungano wa Utawala wa Sheria nchini Iraq umeutaka utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia uliombe radhi taifa hilo kutokana na madhara lililoyapata, kwa hatua ya Riyadh kutuma maelfu ya magaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Qassemi: Saudia ni chanzo kikuu cha ugaidi duniani
Mar 24, 2018 02:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema Jumamosi amejibu tuhuma za hivi karibuni za Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia na kusema,"Saudi Arabia ndio chanzo kikuu cha ugaidi, ukosefu wa usalama na misimamo mikali katika eneo na dunia nzima."
-
Amnesty yalaani uuzaji wa silaha kwa Saudia, yasema Riyadh imetenda jinai za kivita Yemen
Mar 23, 2018 09:38Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani mwenendo wa nchi za Magharibi hususan Marekani wa kuendelea kuiuzia silaha Saudi Arabia ikisisitiza kuwa utawala wa Riyadh umefanya jinai za kivita nchini Yemen.
-
Ufaransa yapewa miezi miwili isitishe uuzaji wa silaha kwa Saudia
Mar 23, 2018 02:46Mashirika mawili ya kutetea haki za binadamu yameipa Ufaransa makataa ya miezi miwili iache kuuuzia silaha utawala wa kifalme wa Saudi Arabia, vinginevyo yataichukulia hatua za kisheria.
-
Ndege za kivita za Saudia zaua watoto, wanawake Wayemeni mkoani Sa'ada
Mar 22, 2018 11:28Ndege za kivita za Saudia Arabia zimedondosha mabomu katika maeneo ya raia ya mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa Yemen na kuua na kujeruhi raia 17 wakiwemo wanawake na watoto.