-
Trump aendeleza bwabwaja zake dhidi ya Iran
Mar 21, 2018 00:36Rais Donald Trump wa Marekani jana Jumanne alikutana na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia katika Ikulu ya White House na kukariri tena madai yasiyo na msingi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
-
Usalama wa viwanja vya ndege vya Saudia mikononi mwa shirika la Kizayuni la Israel
Mar 20, 2018 03:52Ulinzi na usalama wa viwanja vya ndege vya Saudi Arabia umetiwa mikononi mwa shirika la Kizayuni la G4S kwa amri ya mfalme Salman bin Abdul Aziz wa nchi hiyo.
-
Huffington Post: Marekani inashirikiana bega kwa bega na Saudia katika jinai nchini Yemen
Mar 20, 2018 01:07Mtandao maarufu wa habari nchini Marekani wa Huffington Post umeandika kuwa, kitendo cha Marekani kuidhaminia silaha na zana za kijeshi na kuunga mkono ukatili wa muungano wa nchi za Kiarabu katika uvamizi wa kijeshi nchini Yemen, kimeweka wazi ushiriki wa Marekani katika jinai za kivita za Saudia dhidi ya taifa hilo la Kiarabu.
-
Wasi wasi wa Saudia waipelekea ikabidhi viwanja vyake vya ndege kwa Israel
Mar 19, 2018 04:23Kufuatia wasi wasi wa uwezekano wa kutoroka nchi wanawafalme wa ukoo wa Aal-Saud, utawala wa Aal- Saud umeamua kuukabidhi utawala haramu wa Israel usimamizi wa viwanja vyake vya ndege.
-
Qassemi: Bin Salman ni mwanagenzi anayeona ndoto za mchana
Mar 16, 2018 01:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi yaliyojaa dharau ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia na kusema matamshi hayo ya Muhammad bin Salman hayana thamani ya kujibiwa kwa sababu ni mwanagenzi anayeona njozi na asiyejua lolote isipokuwa kusema uongo.
-
Radiamali kwa makubaliano ya kuiuzia Saudia ndege za kivita za Uingereza aina ya Typhoon
Mar 11, 2018 04:18Hatua ya kusainiwa makubaliano ya kuiuzia Saudi Arabia ndege 48 za kivita aina ya typhoon katika safari ya Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo huko London imeakisiwa pakubwa na duru za kisiasa na vyombo vya habari vya ndani na nje ya Uingereza.
-
Alkhamisi tarehe 8 Machi 2018
Mar 07, 2018 22:10Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Jamadithani 1439 Hijria sawa na Machi 8, 2018.
-
Safari ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia nchini Uingereza, Silaha Mkabala wa Kuunga Mkono Jinai
Mar 07, 2018 22:07Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia, Mohammad Bin Salman, Jumatano aliwasili nchini Uingereza baada ya safari hiyo kuakhirishwa mara kadhaa.
-
Bahram Qassemi ajibu tuhuma za Saudia na Misri dhidi ya Iran
Mar 07, 2018 11:47Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bahram Qassemi sambamba na kutupilia mbali tuhuma za kujikariri dhidi ya taifa hili zilizotolewa katika ripoti ya pamoja ya Saudia na Misri, amesema kuwa tuhuma hizo hazina msingi, ni za kubuni na ni makosa haribifu ya kukaririwa.
-
Waingereza wapinga bin Salman kufanya safari London; wasema ni mtenda jinai
Mar 05, 2018 00:33Wananchi wa Uingereza wameendelea kupinga safari ya Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia mjini London wakisema kuwa, viongozi wa nchi hiyo wanapaswa kufuta safari ya bin Salman kutokana na kutenda kwake jinai huko Yemen.