-
UN: Hali ya kimaisha ya Wayemeni ni maafa matupu
Feb 28, 2018 13:03Afisa wa operesheni za misaada ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa, hali ya kimaisha ya watu wa Yemen ni maafa matupu kutokana na vita vya Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo, njaa na maradhi ya kipindupindu.
-
Ripoti: Tufani ya mabadiliko ya Bin Salman Saudia ni kuvutia radhi za Israel na Marekani
Feb 27, 2018 11:16Katika kuendelea kwa wimbi la mabadiliko na kuwapiga kalamu nyekundu viongozi wa ngazi za juu nchini Saudia, vyombo mbalimbali vya nchi za Kiarabu vimeripoti kwamba lengo la Mohammad Bin Salman Al Saud, mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo katika kutekeleza mabadiliko hayo ni kuvuitia ridhaa ya Marekani na Israel.
-
Ulimwengu wa Michezo, Feb 26
Feb 26, 2018 04:26Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita...
-
Ukosoaji mkali wa upinzani nchini Ujerumani dhidi ya kuuziwa Saudia silaha zinazotumika kuua raia Yemen
Feb 25, 2018 09:39Mrengo wa upinzani nchini Ujerumani umekosoa vikali hatua ya nchi hiyo kuiuzia silaha za kisasa Saudi Arabia na washirika wake ambazo wanazitumia katika vita dhidi ya Yemen.
-
EU, HRW na Amnesty zaitaka Bahrain imuachie huru mwanaharakati aliyeikosoa Saudia
Feb 23, 2018 04:05Umoja wa Ulaya umeitaka serikali ya Bahrain imuachie huru Nabeel Rajab, mwanaharakati mashuhuri wa masuala ya haki za binadamu nchini humo, ambaye siku ya Jumatano alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kile kilichoelezwa kwamba, ni kupatikana na hatia ya uchochezi na kutoa jumbe za kukosoa utawala wa nchi hiyo na utawala wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia.
-
Amnesty International yaikosoa Ufaransa kwa kuziuzia silaha Imarati na Saudi Arabia
Feb 22, 2018 04:47Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeikosoa vikali Paris kwa kuendelea kuiuzia Riyadh silaha na zana za kijeshi ambazo zinatumika vitani huko Yemen.
-
Mkuu wa baraza kuu la kisiasa Yemen awatahadharisha wavamizi wa Saudi Arabia
Feb 22, 2018 04:36Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesisitiza kuwa vikosi vya Yemen vitawashangaza pakubwa wavamizi wa Saudia huko Yemen.
-
Kuuawa askari wengine 12 wa Imarati nchini Yemen, matokeo ya kupenda kujitanua Saudia na Abu Dhabi
Feb 21, 2018 09:05Wizara ya Ulinzi ya Yemen inayofungamana na Harakati ya Wananchi ya Answarullah, imetangaza habari ya kuangamizwa askari wengine 12 wa Imarati katika mji wa Taiz ulioko kusini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Kuendelea mashambulizi ya Saudi Arabia Yemen; raia watano wauawa mkoani Ta'iz
Feb 20, 2018 23:41Raia watano jana usiku waliuawa katika mashambulizi ya ndege za kivita za utawala wa Saudia katika mkoa wa Taiz Yemen.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 28 na sauti
Feb 18, 2018 13:09Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 28 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.