-
Uhusiano wa Saudia na Lebanon na kuzidi kupanda joto la mvutano baina ya pande mbili
Feb 10, 2018 02:36Kuna kila ishara inayoonyesha kuwa uhusiano wa Saudi Arabia na Lebanon unaelekea kwenye mkondo unaoshadidisha mvutano baina ya pande mbili.
-
Mwanaharakati wa kike aliyekosoa mahusiano ya Saudia na Israel aendelea kushikiliwa Riyadh
Feb 08, 2018 10:54Mwanaharakati wa kike ambaye alikosoa kitendo cha kuanzishwa mahusiano kati ya nchi za Kiarabu zikiongozwa na Saudia, na utawala haramu wa Israel, anaendelea kushikiliwa katika korokoro za kutisha za utawala wa Aal Saud.
-
Utawala wa Aal Saud watwaa kwa siri kisiwa cha Tiran cha Misri
Feb 06, 2018 23:05Licha ya kuwepo malalamiko ya Wamisri wanaopinga utawala wa Aal-Saud kuuziwa visiwa viwili vya Tiran na Sanafir mali ya nchi hiyo, duru za habari zimearifu kwamba Saudia imetwaa kisiwa cha Tiran kilichopo Bahari Nyekundu kwa siri.
-
Maandamano London ya kupinga kuuziwa silaha Riyadh
Feb 05, 2018 04:23Makumi ya watu juzi waliandamana na kukusanyika mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London Uingereza wakipinga na kulalamikia hatua ya Uingereza ya kuiuzia silaha Saudia.
-
Safari na Bin Salman Uingereza yaahirishwa kwa tuhuma za kufanya jinai dhidi ya binadamu
Feb 03, 2018 12:05Safari iliyopangwa kufanywa na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia nchini Uingereza imeahirishwa kwa muda usiojulikana baada wabunge, jumuiya za kiraia na makundi ya kutetea haki za binadamu kupinga safari hiyo.
-
Mshindi wa zawadi ya amani ya Nobel ashangaa kutoshtakiwa Bin Salman na Al Nahyan
Feb 03, 2018 04:50Bi Tawakkol Karman, mshindi wa zawadi ya amani ya Nobel wa nchini Yemen amesisitizia umuhimu wa kushtakiwa kimataifa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme nchini Saudia na Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Abu Dhabi kutokana na jinai zao za mauaji ya umati nchini Yemen.
-
Malenga wanne Saudia wafungwa miaka 30 jela kwa kumkosoa Bin Salman
Feb 03, 2018 04:41Mahakama ya Saudia imewahukumu kifungo cha miaka 30 jela wakosoaji wa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Iran ndio njia pekee ya kupitishia dawa na chakula kwa ajili ya Qatar
Feb 02, 2018 04:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Mohammed bin Abdulrahman Al Thani amesema, baada ya nchi yake kuwekewa mzingiro na Saudi Arabia na waitifaki wake, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ndio njia pekee ya kudhaminia dawa na chakula kwa wananchi wa Qatar.
-
Askari kadhaa wa Saudia waangamizwa mkoani Jizan kusini mwa nchi hiyo
Feb 02, 2018 04:32Askari kadhaa wa Saudi Arabia wameangamizwa katika shambulio lililofanywa na mdunguzi mmoja wa Yemen dhidi ya ngome za askari hao huko kusini mwa Saudia.
-
Russia: Ushahidi uliotolewa na Marekani dhidi ya Iran ni butu
Feb 01, 2018 00:09Russia imesema kuwa ushahidi uliotolewa na Marekani ikidai kuwa Tehran imewapa makombora wapiganaji wa harakati ya al Huothi nchini Yemen ni butu na hauna mashiko.