-
Wanasheria wa Uingereza: Iondoeni Saudia kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN
Jan 31, 2018 23:09Mawakili wa Uingereza wametoa wito wa kuondolewa Saudi Arabia kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa wakieleza kwamba utawala huo wa kifalme unawaweka kizuizini wanaharakati wa kisiasa na wa uhuru wa kutoa maoni bila ya kuwafungulia mashtaka.
-
Mfalme wa Jordan: Kuna pande za Kiarabu zimeniwekea mashinikizo niachane na kadhia ya Quds
Jan 31, 2018 23:08Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amefichua kuhusu mapendekezo na mashinikizo ya kiuchumi inayopata nchi yake kutoka kwa baadhi ya nchi za Kiarabu, kutokana na msimamo wake kuhusiana na kadhia ya Quds.
-
Mapigano makali yaibuka kati ya wanamgambo wa Saudia na Imarati, Aden nchini Yemen
Jan 29, 2018 01:15Katika mapigano makali yaliyojiri kati ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Saudia na Imarati mjini Aden, kusini mwa Yemen kwa akali watu 10 wameuawa na wengine 100 kujeruhiwa.
-
Zarif arudisha mapigo, asema Saudia na Marekani waliisaidia Daesh kwa silaha
Jan 27, 2018 00:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Muhammad Javad Zarif amesema Saudi Arabia na Marekani haziwezi kupotosha ukweli wa mambo kuhusu misaada na ufadhili wao kwa kundi la kigaidi la Daesh.
-
Uzushi wa Saudia, Marekani na Israel dhidi ya Iran kwa lengo la kubadili uhalisia wa mambo Mashariki ya Kati
Jan 26, 2018 04:47Adel al Jubeir Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia akiwa anafuata kibubusa sera za chuki dhidi ya Iran za Marekani na Utawala wa Kizayuni wa Israel, alitoa hotuba katika kikao cha Jukwaa la Uchumi Duniani huko Davos Uswisi siku ya Jumatano na kutoa tuhuma zisizo na msingi kuwa eti Iran inaunga mkono migongano ya kimadhehebu na ugaidi.
-
Zarif: Iran iliwaangamiza magaidi wa ISIS ambao walipata silaha kutoka Marekani, Saudia
Jan 26, 2018 00:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Marekani na Saudi Arabia ndio waliowapa magaidi wa ISIS au Daesh silaha.
-
Human Rights Watch: Saudia inakiuka haki za binadamu nchini Yemen
Jan 19, 2018 00:10Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, Saudi Arabia imekuwa ikikiuka haki za binadamu huko nchini Yemen.
-
Hali ya kiongozi wa upinzani na kidini aliyemkosoa Bin Salman, yazidi kuwa mbaya jela Saudia
Jan 18, 2018 11:20Hali ya kimwili ya Salman al-Ouda, mmoja wa shakhsia wakubwa wa upinzani na kidini nchini Saudi Arabia ambaye miezi minne iliyopita, alitiwa mbaroni kwa amri ya Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme na Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, imeripotiwa kuendelea kuwa mbaya kila siku katika jela ya nchi hiyo.
-
Radiamali ya Ansarullah ya Yemen kwa madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia
Jan 17, 2018 11:43Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametoa matamshi akijibu msimamo usiozingatia hali halisi na wa hadaa uliodhihirishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia kuhusu Yemen.
-
Answarullah yashambulia kwa kombora uwanja wa ndege wa Jazan, Saudia
Jan 17, 2018 04:47Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah, limeushambulia kwa kombora uwanja wa ndege wa Jazan, kusini magharibi mwa Saudia ikiwa ni katika hatua ya ulipizaji kisasi kutokana na uvamizi wa Saudia na washirika wake dhidi ya taifa hilo la Kiarabu.