Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Wafanyakazi wa Shirika la Saudia waandamana mbele ya ubalozi wa Saudia mjini Beirut

    Wafanyakazi wa Shirika la Saudia waandamana mbele ya ubalozi wa Saudia mjini Beirut

    Jan 14, 2018 10:55

    Wafanyakazi wa shirika la Saudia la Saudi Oger wameandamana mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut wakitaka kulipwa mishahra yao.

  • Sababu za kuongezeka mvutano kati ya Qatar na nchi nyingine nne za Kiarabu

    Sababu za kuongezeka mvutano kati ya Qatar na nchi nyingine nne za Kiarabu

    Jan 13, 2018 00:14

    Licha ya kupita zaidi ya miezi 7 tokea kuanza mvutano kati ya Qatar na nchi nyingine nne za Kiarabu za kundi la 3+1, si tu kwamba hakuna dalili zozote zinazoonyesha kupungua mvutano huo bali umekuwa ukiongezeka siku baada ya nyingine.

  • Bodi ya kimataifa yaanzishwa kusimamia idara ya Saudia katika maeneo matakatifu ya Makka na Madina

    Bodi ya kimataifa yaanzishwa kusimamia idara ya Saudia katika maeneo matakatifu ya Makka na Madina

    Jan 10, 2018 12:40

    Malaysia imetangaza habari ya kuanzishwa bodi ya kimataifa ya kuchunguza na kusimamia idara na uendeshaji wa Saudi Arabia katika maeneo matakatifu ya Makka na Madina na vilevile kulinda maeneo na turathi za kihistoria.

  • Mabadiliko katika stratejia ya serikali ya uokozi wa kitaifa Yemen; kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Saudi Arabia

    Mabadiliko katika stratejia ya serikali ya uokozi wa kitaifa Yemen; kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Saudi Arabia

    Jan 09, 2018 04:07

    Abdel-Aziz bin Habtour Waziri Mku wa Serikali ya Uokozi wa Kitaifa Yemen amekutana na Moein Shuraim naibu wa mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen na kutaka kuwepo mazungumzo ya moja kwa moja baina ya Harakati ya Answarullah na utawala vamizi wa Saudia.

  • HRW: Marekani, Uingereza na Ufaransa zisitishe kuiuzia silaha Saudi Arabia

    HRW: Marekani, Uingereza na Ufaransa zisitishe kuiuzia silaha Saudi Arabia

    Jan 08, 2018 04:32

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch amezitaka Marekani, Uingereza na Ufaransa ziache kuiuzia silaha Saudi Arabia.

  • Hasira za wananchi Saudi Arabia baada ya utawala kuongeza ushuru na kupandisha bei ya petroli

    Hasira za wananchi Saudi Arabia baada ya utawala kuongeza ushuru na kupandisha bei ya petroli

    Jan 07, 2018 10:16

    Wananchi wa Saudi Arabia ambao wananyimwa ruhusa ya kuandamana wamebainisha hasira zao katika mitandao ya kijamii baada ya utawala wa kifalme kupoandisha bei ya petroli na Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)

  • Macron: Vitisho vya US, Israel na Saudia dhidi ya Iran ni njia ya vita

    Macron: Vitisho vya US, Israel na Saudia dhidi ya Iran ni njia ya vita

    Jan 04, 2018 04:23

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametaka kulindwa njia ya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Saudi Arabia na Imarati zafadhili njama ya mapinduzi dhidi ya Mfalme wa Jordan

    Saudi Arabia na Imarati zafadhili njama ya mapinduzi dhidi ya Mfalme wa Jordan

    Jan 02, 2018 00:44

    Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimefichua njama iliyopangwa na wanawafalme watatu wa Jordan kwa ajili ya kumpindua Mfalme wa nchi hiyo kwa kusaidiwa na Saudi Arabia na Imarati.

  • Ndege za Saudia zaua raia 20 katika hujuma magharibi mwa Yemen

    Ndege za Saudia zaua raia 20 katika hujuma magharibi mwa Yemen

    Dec 31, 2017 04:33

    Raia wasiopungua 20 wameuawa katika hujuma ya ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya makao ya raia katika mkoa wa al Hudaydah magharibi mwa Yemen.

  • Ndege za kivita za Saudia zaua wanawake 10 magharibi mwa Yemen

    Ndege za kivita za Saudia zaua wanawake 10 magharibi mwa Yemen

    Dec 30, 2017 10:50

    Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeshambulia shamba moja magharibi mwa Yemen na kuua wanawke wasiopungua 10 waliokuwa katika eneo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS