Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Libya: Mapatano kati ya Iran na Saudi Arabia ni kwa maslahi ya nchi za Asia Magharibi

    Libya: Mapatano kati ya Iran na Saudi Arabia ni kwa maslahi ya nchi za Asia Magharibi

    Mar 12, 2023 23:12

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya imetoa taarifa na kukaribisha mapatano yaliyofikiwa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia na kueleza kuwa, mapatano hayo yana maslahi kwa nchi mbili na eneo zima la Asia Magharibi kwa ujumla.

  • Ofisi ya UN: Mapatano ya Iran, Saudia yataharakisha usitishaji vita Yemen

    Ofisi ya UN: Mapatano ya Iran, Saudia yataharakisha usitishaji vita Yemen

    Mar 12, 2023 04:08

    Ofisi ya ubalozi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imepongeza mapatano ya kurejesha tena uhusiano wa kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia na kueleza kuwa, muafaka huo utaharakisha mchakato wa kusitishwa vita na mapigano nchini Yemen.

  • Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu yapongeza mapatano baina ya Iran na Saudia

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu yapongeza mapatano baina ya Iran na Saudia

    Mar 11, 2023 23:27

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imepongeza mapatano ya kurejesha tena uhusiano wa kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia na kueleza kuwa, hiyo ni hatua muhimu katika uga wa kuimarisha amani na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi.

  • Matamshi ya waziri wa Saudia, kuanzia kushindwa nchini Syria hadi hitilafu na Imarati

    Matamshi ya waziri wa Saudia, kuanzia kushindwa nchini Syria hadi hitilafu na Imarati

    Mar 10, 2023 02:18

    Faisal bin Farhan Aal Saud, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amefanya mahojiano na televisheni ya al Arabia ya nchi hiyo na amekiri kwa njia isiyo ya moja kwa moja kuwa siasa za Riyadh zimefeli nchini Syria kama ambavyo amekiri kwamba kuna hitilafu baina ya Saudia na Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati).

  • Duru mpya ya mazungumzo baina ya Iran na Saudia kufanyika hivi karibuni Baghdad, Iraq

    Duru mpya ya mazungumzo baina ya Iran na Saudia kufanyika hivi karibuni Baghdad, Iraq

    Feb 09, 2023 22:56

    Waziri Mkuu wa Iraq ametangaza kuwa duru mpya ya mazungumzo kati ya Iran na Saudi Arabia itafanyika hivi karibuni mjini Baghdad.

  • Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaitaka Morocco kutomrejesha Saudia mwanaharakati wa nchi hiyo

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaitaka Morocco kutomrejesha Saudia mwanaharakati wa nchi hiyo

    Feb 09, 2023 04:29

    Baadhi ya mashirika ya kutetea haki za binadamu yamemtaka Waziri Mkuu wa Morocco kutomrudisha nchini kwake mwanaharakati wa Saudia, Hassan al-Rabea.

  • Amnesty International: Saudia inaitumia vibaya michezo kufunika jinai zake

    Amnesty International: Saudia inaitumia vibaya michezo kufunika jinai zake

    Feb 03, 2023 22:45

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa utawala wa Saudi Arabia unaitumia vibaya michezo kuficha rekodi yake chafu, ya maafa na ya kutisha ya haki za binadamu.

  • Sababu za kuongezeka hukumu za kifo nchini Saudi Arabia baada ya Bin Salman kuingia madarakani

    Sababu za kuongezeka hukumu za kifo nchini Saudi Arabia baada ya Bin Salman kuingia madarakani

    Feb 02, 2023 23:36

    Shirika la Haki za Binadamu la Ulaya-Saudia, limetangaza katika ripoti ya karibuni kwamba hukumu za kifo au unyongaji wakati wa utawala wa mrithi wa kiti cha ufalme Mohammed bin Salman nchini Saudi Arabia zinaongezeka karibu mara mbili kila mwaka.

  • Taasisi za haki za binadamu zaidi ya 170 zataka kuhitimishwa maafa ya binadamu Yemen

    Taasisi za haki za binadamu zaidi ya 170 zataka kuhitimishwa maafa ya binadamu Yemen

    Jan 26, 2023 05:13

    Mashirika na taasisi za haki za binadamu za kimataifa zaidi ya 170 zimetaka kuhitimishwa maafa ya binadamu huko Yemen na mzingiro dhidi ya nchi hiyo.

  • Utawala wa Saudia wamhukumu kifo profesa wa chuo kikuu kwa kuiunga mkono Ikhwanul Muslimin

    Utawala wa Saudia wamhukumu kifo profesa wa chuo kikuu kwa kuiunga mkono Ikhwanul Muslimin

    Jan 15, 2023 23:41

    Utawala wa Saudi Arabia umemhukumu kifo Profesa maarufu wa Chuo Kikuu kwa kutumia mitandao ya kijamii ya Twitter na WhatsApp kuliunga mkono kundi la Ikhwanul Muslimin na kusambaza habari zinazodaiwa kuwa za uhasama dhidi ya ufalme huo wa Aal Saud unaowakandamiza wapinzani na wanaharakati wa mageuzi nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS