-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 16 na sauti
Jan 16, 2017 13:08Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa aya za Qur'ani Tukufu na hadithi mienendo ya makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao hii leo ikiwa ni sehemu ya 16 ya mfululizo huo.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 15na sauti
Jan 16, 2017 13:01Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine, hii ikiwa ni sehemu ya 15 ya mfululizo huo.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 14 na sauti
Jan 16, 2017 12:59Katika kipindi kilichopita tulizungumzia suala la bidaa na namna ambavyo kundi la Uwahabi (Answar Suna) linavyolichukulia kila jambo ambalo halijatajwa na mihimili miwili ya vyanzo vya dini yaani Qur'an na hadithi, kuwa ni bidaa (uzushi.) katika kipindi hiki tutaendelea kuashiria suala hilo, hivyo endeleeni kuungana nami hadi mwisho wa kipindi….
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 13 na sauti
Jan 16, 2017 12:57Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine, hii ikiwa ni sehemu ya 13 ya mfululizo huo.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 12 na sauti
Jan 16, 2017 12:53Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami katika sehemu ya 12 ya kipindi kinachokosoa, kwa mujibu wa Qur'ani na hadithi za Mtume (saw), mienendo na fikra za makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 11 na sauti
Jan 16, 2017 12:50Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa aya za Qur'ani Tukufu na hadithi mienendo ya makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao hii leo ikiwa ni sehemu ya 11 ya mfululizo huo.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 10 na sauti
Jan 16, 2017 12:44Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika sehemu ya 10 ya mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na Suna za Bwana Mtume (saw) mienendo ya makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 9 na sauti
Jan 16, 2017 12:10Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika sehemu ya tisa ya mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na Suna za Bwana Mtume (saw) mienendo ya makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao.
-
Iran kufuatilia kisheria na kudai fidia na dia za wafanyaziara katika mazungumzo na Saudia
Jan 15, 2017 00:20Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara wa Iran amesema, katika vikao kadhaa vya ndani kuhusiana na mazungumzo yajayo na Saudi Arabia juu ya ajenda kuu ya amali za Hija, imeamuliwa kufuatilia masuala ya usalama, suhula na kadhia muhimu ya ufuatiliaji wa kisheria na kudai fidia na dia za wafanyaziara wa Kiirani waliofariki katika Msikiti Mtukufu wa Makka na eneo la Mina.
-
Saudia yaendeleza mashambulizi Yemen na kuua watu saba wa familia moja
Jan 12, 2017 04:03Raia wa Yemen wasiopungua saba wameuawa katika mashambulizi ya hivi karibuni ya ndege za kivita za jeshi la Saudi Arabia nchini humo.