Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Iran yakanusha kupokea barua ya Saudia ya mwaliko wa Hija

    Iran yakanusha kupokea barua ya Saudia ya mwaliko wa Hija

    Jan 01, 2017 13:07

    Mkuu wa Shirika la Hija na Ziara la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha madai ya Saudi Arabia kuwa imetuma barua ya mwaliko kwa Iran wa kushiriki kwenye Hija ya mwaka ujao.

  • Saudia inaendelea kutoa misaada ya kifedha kwa magaidi Syria

    Saudia inaendelea kutoa misaada ya kifedha kwa magaidi Syria

    Dec 27, 2016 11:17

    Saudia Arabia hivi karibuni imetoa msaada mwingine wa Riali Milioni 100 za Kisaudi ($ Milioni 26.5) kwa ajili ya magaidi nchini Syria.

  • Saudia yakiri kuwepo katika eneo maelfu ya magaidi wenye uraia wa nchi hiyo

    Saudia yakiri kuwepo katika eneo maelfu ya magaidi wenye uraia wa nchi hiyo

    Dec 26, 2016 13:07

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imekiri kuwa kuna magaidi zaidi ya elfu mbili raia wa nchi hiyo huko Syria na katika nchi zingine za Mashariki ya Kati.

  • Mtikisiko wa kiuchumi waifanya Saudia ianze kuuza hisa za Aramco

    Mtikisiko wa kiuchumi waifanya Saudia ianze kuuza hisa za Aramco

    Dec 25, 2016 04:34

    Saudi Arabia imetangaza mpango wa kuanza kuuza karibu nusu ya hisa za shirika kubwa la mafuta nchini humo Aramco, ikiwa ni katika juhudi za kupunguza nakisi ya bajeti ya utawala huo.

  • Askari na mamluki wa Saudia wazidi kuangamizwa na vikosi vya Yemen

    Askari na mamluki wa Saudia wazidi kuangamizwa na vikosi vya Yemen

    Dec 24, 2016 04:27

    Mamluki wasiopungua 16 wa Saudi Arabia huko nchini Yemen wameangamizwa kufuatia operesheni ya kijeshi ya jeshi la Yemen likisaidiwa na vikosi vya kujitolea vya wananchi.

  • Mamluki 97 wa Saudi Arabia  waangamizwa katika operesheni ya kijeshi nchini Yemen

    Mamluki 97 wa Saudi Arabia waangamizwa katika operesheni ya kijeshi nchini Yemen

    Dec 21, 2016 03:25

    Mamluki wasiopungua 97 wa Saudi Arabia huko nchini Yemen wameangamizwa kufuatia operesheni ya kijeshi ya kamati za wananchi huku wengine 50 wakijeruhiwa.

  • Saudia yakiri kutumia mabomu ya vishada nchini Yemen

    Saudia yakiri kutumia mabomu ya vishada nchini Yemen

    Dec 20, 2016 04:19

    Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umekiri kwamba umetumia mabomu yaliyopigwa marufuku ya vishada katika mashambulizi yake dhidi ya wananchi wa Yemen.

  • Kuburuzwa (P) GCC na Saudia na kutoa fursa kwa Marekani na Uingereza ya kujiingiza katika eneo

    Kuburuzwa (P) GCC na Saudia na kutoa fursa kwa Marekani na Uingereza ya kujiingiza katika eneo

    Dec 20, 2016 02:42

    Katibu Mkuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P) GCC Abdulatif Al-Zayyani, ametoa taarifa kuhusu Iran ambayo ndani yake imeelekeza kidole cha tuhuma kwa Jamhuri ya Kiislamu zinazobainisha muelekeo na misimamo ya kisiasa ya Saudi Arabia kuhusiana na Iran na eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Utawala wa Saudi Arabia wandelea kufanya mauaji ya kinyama nchini Yemen

    Utawala wa Saudi Arabia wandelea kufanya mauaji ya kinyama nchini Yemen

    Dec 19, 2016 11:13

    Ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimeendelea kufanya mauaji ya kinyama dhidi ya raia huko nchini Yemen licha ya kuweko miito ya kuhitimishwa jinai hizo dhidi ya raia wasio na hatia.

  • Maelfu ya watu watiwa mbaroni Saudi Arabia kwa tuhuma za ugaidi

    Maelfu ya watu watiwa mbaroni Saudi Arabia kwa tuhuma za ugaidi

    Dec 17, 2016 23:31

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imetangaza habari ya kutiwa nguvuni maelfu ya watu nchini humo kwa tuhuma za kuwa na mahusiano na makundi ya kigaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS