Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Silaha za Uingereza zinatumiwa na nchi watenda jinai za eneo

    Silaha za Uingereza zinatumiwa na nchi watenda jinai za eneo

    Dec 14, 2016 00:56

    Gazeti la The Guardian limeandika kuwa Uingereza ni muuzaji mkubwa wa pili wa silaha na zana za kijeshi duniani na mdhamini wa silaha nyingi zaidi zinazotumiwa katika vita vinavyoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Mufti wa Algeria aikosoa vikali Saudia kwa kuongeza gharama za Hija, Umrah

    Mufti wa Algeria aikosoa vikali Saudia kwa kuongeza gharama za Hija, Umrah

    Dec 09, 2016 23:16

    Mufti Mkuu wa Algeria ameukosoa vikali utawala wa Saudia Arabia kwa vitendo vyake vya kuwazuia Waislamu kutekekeleza ibada ya faradhi ya Hija na pia Umrah

  • Saudi Arabia kufungua kituo cha kijeshi Djibouti

    Saudi Arabia kufungua kituo cha kijeshi Djibouti

    Dec 04, 2016 11:29

    Katika kile kinachoonekana ni mkakati wa kupanua satua na uwepo wake wa kijeshi katika nchi za Afrika, utawala wa Saudi Arabia unapania kufungua kituo cha kijeshi nchini Djibouti.

  • HRW: Silaha za Marekani zinatumiwa na Saudia kutenda jinai za kivita Yemen

    HRW: Silaha za Marekani zinatumiwa na Saudia kutenda jinai za kivita Yemen

    Dec 03, 2016 00:55

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch kwa mara nyingine limetoa wito kwa Marekani kusitisha uuzaji wake wa silaha kwa Saudi Arabia.

  • Wanaharakati watatu wa Kishia wahukumiwa kunyongwa Saudia

    Wanaharakati watatu wa Kishia wahukumiwa kunyongwa Saudia

    Dec 01, 2016 04:00

    Mahakama moja ya Saudi Arabia imewahukumu kunyongwa wanaharakati watatu wa Kishia wa nchini humo.

  • Mashambulio ya ndege za kivita za Saudia yaendelea kuua raia wa Yemen

    Mashambulio ya ndege za kivita za Saudia yaendelea kuua raia wa Yemen

    Nov 28, 2016 04:21

    Watu 19 wameuawa katika mashambulio mapya ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya maeneo ya makaazi ya raia nchini Yemen.

  • El Sisi: Misri si mtumwa wa Saudi Arabia

    El Sisi: Misri si mtumwa wa Saudi Arabia

    Nov 27, 2016 12:30

    Rais wa Misri amesema, nchi yake kamwe haiwezi kufuata maamrisho ya Saudi Arabia katika mahusiano yake ya kieneo na kimataifa.

  • UN yatoa wito kwa Saudia iwaachie huru wanaharakati watetezi wa haki za binadamu

    UN yatoa wito kwa Saudia iwaachie huru wanaharakati watetezi wa haki za binadamu

    Nov 22, 2016 12:55

    Kamati ya Umoja wa Mataifa inayochunguza utiaji nguvuni kiholela unaofanywa duniani imetoa wito tena wa kuachiwa huru wanaharakati watetezi wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia.

  • Qassemi: Mpango wa Saudia dhidi ya Iran chimbuko lake ni matatizo ya ndani ya Wasaudia

    Qassemi: Mpango wa Saudia dhidi ya Iran chimbuko lake ni matatizo ya ndani ya Wasaudia

    Nov 21, 2016 10:14

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, pendekezo la kuundwa muungano wa nchi za Ghuba ya Uajemi bila ya ushiriki wa Iran na kuifukuza Jamhuri ya Kiislamu katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu OIC chimbuko lake ni matatizo ya ndani ya Saudia.

  • Udiplomasia wa Saudia; kuharibu uhusiano wa Iran kieneo na kimataifa

    Udiplomasia wa Saudia; kuharibu uhusiano wa Iran kieneo na kimataifa

    Nov 21, 2016 08:29

    Duru za kisiasa zenye mfungamano na Wasaudia katika siku za hivi karibuni zimezidisha harakati na lobi za kisiasa dhidi ya Iran. Lengo la harakati hizo ni kuiiweka chini ya mashinikizo Iran kieneo na kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS