Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen lakubali usimamishaji vita

    Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen lakubali usimamishaji vita

    Nov 20, 2016 23:30

    Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amekaribisha juhudi za kusimamisha vita kwa ajili ya kukomesha uvamizi wa Saudi Arabia nchini humo.

  • Kwa mara nyingine Saudia yatoa tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran

    Kwa mara nyingine Saudia yatoa tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran

    Nov 20, 2016 12:41

    Ubalozi wa Saudia nchini Misri umetoa madai yasiyo na msingi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba eti inaingilia masuala ya ndani ya nchi za Kiarabu.

  • Trump: Sitonunua mafuta ya Saudia kwani wanaunga mkono ugaidi, Saudia: utayanunua tu!

    Trump: Sitonunua mafuta ya Saudia kwani wanaunga mkono ugaidi, Saudia: utayanunua tu!

    Nov 18, 2016 13:21

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema kuwa, Marekani ina haja ya kuzuia mafuta ghafi ya Saudia kuingia nchini hiyo na badala yake Washington itajidhaminia kikamilifu nishati hiyo yenyewe.

  • Jeshi la Yemen lashambulia kwa mvua ya makombora kambi kadhaa za jeshi la Saudua

    Jeshi la Yemen lashambulia kwa mvua ya makombora kambi kadhaa za jeshi la Saudua

    Nov 17, 2016 01:07

    Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah, imetoa jibu kali kwa kushambulia asubuhi ya leo kambi za askari wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudia, huko katika mji wa Najran na Jizan, kusini magharibi mwa Saudia.

  • Sera za kujipanua za Saudia dhidi ya maslahi ya Misri

    Sera za kujipanua za Saudia dhidi ya maslahi ya Misri

    Nov 16, 2016 03:01

    Ripoti za vyombo vya habari zinaeleza kuwa Utawala wa Aal Saud umezusha madai mapya ya umiliki wa ardhi za Misri na kuanzisha propaganda za kupotosha ukweli wa historia kwa ajili ya kufanikisha tamaa zake za kujipanua.

  • Harakati za Saudi Arabia na Imarati dhidi ya Iran katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

    Harakati za Saudi Arabia na Imarati dhidi ya Iran katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

    Nov 13, 2016 09:05

    Duru za kisiasa zenye mfungamano na Saudi Arabia kwa siku kadhaa sasa zimeanzisha duru mpya ya harakati za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Iran.

  • Amnesty yaitaka Uhispania iache kuiuzia Saudia meli za kivita

    Amnesty yaitaka Uhispania iache kuiuzia Saudia meli za kivita

    Nov 12, 2016 04:19

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Uhispania iache kuiuzia Saudi Arabia manowari za kijeshi na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Ulaya inapaswa kusitisha mauzo hayo kwa kuwa yumkini meli hizo za kivita zikatumika dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.

  • Iran yaikosoa Saudia kwa kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu

    Iran yaikosoa Saudia kwa kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu

    Nov 09, 2016 04:31

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema mwenendo wa utawala wa Saudi Arabia kuyavunjia heshima matukufu ya Kiislamu kwa maslahi yake ya kisiasa ni hatari na utakaowatumbukia nyongo karibuni hivi.

  • Mahakama ya Misri yakataa rufaa ya serikali kuhusu makubaliano na Saudia juu ya visiwa

    Mahakama ya Misri yakataa rufaa ya serikali kuhusu makubaliano na Saudia juu ya visiwa

    Nov 08, 2016 12:12

    Mahakama Kuu ya Kiidara ya Misri imekataa rufaa iliyokatwa na serikali ya kupinga hukumu iliyotolewa hapo awali ya kubatilisha makubaliano yaliyofikiwa baina ya serikali hiyo na Saudi Arabia kuhusu umiliki wa visiwa viwili vilivyoko katika Bahari Nyekundu.

  • Saudia yasimamisha makubaliano ya kusafirisha mafuta Misri

    Saudia yasimamisha makubaliano ya kusafirisha mafuta Misri

    Nov 08, 2016 04:05

    Katika kile kinachoonekana ni kutokota mzozo kati ya Riyadh na Cairo juu ya visiwa vya kiistratajia vya Tiran na Sanafir, Misri imetangaza rasmi kuwa, Saudi Arabia imesimamisha makubaliano ya kusafirisha mafuta katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS