Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudi Arabia inaunga mkono ugaidi barani Afrika

    Saudi Arabia inaunga mkono ugaidi barani Afrika

    Nov 08, 2016 03:48

    Gazeti la Washington Post la Marekani limeandika makala kuhusu kuenea Uwahhabi nchini Nigeria na kuongeza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unaaunga mkono viongozi wa Mawahhabi ili waweze kueneza Uwahhabi nchini humo na kote barani Afrika.

  • WHO: Maelfu ya watu wameuawa nchini Yemen

    WHO: Maelfu ya watu wameuawa nchini Yemen

    Nov 07, 2016 11:20

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa maelfu ya watu wameuawa nchini Yemen katika mashambulizi ya Saudi Arabia na washirika wake ambayo yanaingia mwezi wa 20 sasa.

  • Mashia Nigeria: Hujuma dhidi yetu ni mwangwi wa Uwahabi nchini

    Mashia Nigeria: Hujuma dhidi yetu ni mwangwi wa Uwahabi nchini

    Nov 04, 2016 12:20

    Waislamu wa madhehebu ya Shia huko Nigeria wamekosoa vikali ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na vyombo vya usalama nchini humo na kusisitiza kuwa, dhulma hizo zimetokana na fikra za Kiwahabi.

  • Maulama wa Yemen wakadhibisha madai ya Saudia, miji mitakatifu haishambuliwi

    Maulama wa Yemen wakadhibisha madai ya Saudia, miji mitakatifu haishambuliwi

    Nov 04, 2016 04:46

    Maulama wa Kiislamu nchini Yemen wamekadhibisha madai yaliyotolewa na utawala wa kifalme wa Saudi Arabia uliosema jeshi na wapiganaji wa Yemen wameshambulia mji mtakatifu wa Makka.

  • Bennett: Clinton na mumewe wametajirika kwa pesa za Saudia

    Bennett: Clinton na mumewe wametajirika kwa pesa za Saudia

    Nov 03, 2016 00:23

    Ofisa wa zamani wa jeshi la Marekani na mchambuzi wa siasa amesema mgombea wa urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrat Hillary Clinton na mumewe wake Bill Clinton wamechuma utajiri wao kutokana na kuiuzia Saudi Arabia ushawishi wa serikali ya Washington.

  • Duff: Kuchaguliwa Aoun kunaonesha Saudia inazidi kupoteza ushawishi

    Duff: Kuchaguliwa Aoun kunaonesha Saudia inazidi kupoteza ushawishi

    Nov 01, 2016 11:38

    Gordon Duff, Mhariri Mwandamizi wa jarida la Veterans Today la Marekani na pia mchambuzi wa masuala ya siasa amesema hatua ya Lebanon kupata rais mpya ni dhihirisho kuwa Saudi Arabia inazidi kupoteza ushawishi wake katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Iran: Saudia inazawadiwa uwanachama wa Baraza la Haki za Binadamu kwa jinai inazofanya Yemen

    Iran: Saudia inazawadiwa uwanachama wa Baraza la Haki za Binadamu kwa jinai inazofanya Yemen

    Oct 31, 2016 04:09

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Saudi Arabia unapokea tuzo ya uwanachama wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kutokana na jinai za kutisha unazoendelea kufanya nchini Yemen.

  • Saudia kununua silaha zaidi kutoka Ukraine

    Saudia kununua silaha zaidi kutoka Ukraine

    Oct 30, 2016 11:55

    Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umeongeza ushirikiano wake na nchi ya Ulaya Mashariki ya Ukraine na iko mbioni kununua silaha zaidi kutoka nchini humo.

  • Saudia yapunguza tena mishahara ya wafanyakazi wa serikali na wa binafsi

    Saudia yapunguza tena mishahara ya wafanyakazi wa serikali na wa binafsi

    Oct 27, 2016 07:12

    Kwa mara nyingine tena, serikali ya utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ambao unakabiliwa na matatizo ya kifedha imepunguza mishahara ya wafanyakazi wa sekta za serikali na za binafsi za nchi hiyo.

  • Mazoezi ya kijeshi ya mara kwa mara ya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi

    Mazoezi ya kijeshi ya mara kwa mara ya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi

    Oct 27, 2016 03:53

    Majeshi ya nchi Kiarabu wanachama wa Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi tarehe 25 Oktoba yalianza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la "Amani ya Ghuba ya Uajemi-1".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS