-
Duff: Kuchaguliwa Aoun kunaonesha Saudia inazidi kupoteza ushawishi
Nov 01, 2016 11:38Gordon Duff, Mhariri Mwandamizi wa jarida la Veterans Today la Marekani na pia mchambuzi wa masuala ya siasa amesema hatua ya Lebanon kupata rais mpya ni dhihirisho kuwa Saudi Arabia inazidi kupoteza ushawishi wake katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Iran: Saudia inazawadiwa uwanachama wa Baraza la Haki za Binadamu kwa jinai inazofanya Yemen
Oct 31, 2016 04:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Saudi Arabia unapokea tuzo ya uwanachama wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kutokana na jinai za kutisha unazoendelea kufanya nchini Yemen.
-
Saudia kununua silaha zaidi kutoka Ukraine
Oct 30, 2016 11:55Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umeongeza ushirikiano wake na nchi ya Ulaya Mashariki ya Ukraine na iko mbioni kununua silaha zaidi kutoka nchini humo.
-
Saudia yapunguza tena mishahara ya wafanyakazi wa serikali na wa binafsi
Oct 27, 2016 07:12Kwa mara nyingine tena, serikali ya utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ambao unakabiliwa na matatizo ya kifedha imepunguza mishahara ya wafanyakazi wa sekta za serikali na za binafsi za nchi hiyo.
-
Mazoezi ya kijeshi ya mara kwa mara ya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Oct 27, 2016 03:53Majeshi ya nchi Kiarabu wanachama wa Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi tarehe 25 Oktoba yalianza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la "Amani ya Ghuba ya Uajemi-1".
-
Seneta wa Marekani afichua uhusiano wa Washington na Daesh
Oct 26, 2016 11:30Seneta mmoja wa chama cha Republican nchini Marekani amesema uhusiano kati ya Washington na kundi la kigaidi la Daesh umechangia kusambaratisha usalama na utulivu katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Wayemen walaani Umoja wa Mataifa kwa kupuuza jinai za Saudia
Oct 25, 2016 12:54Mamia ya watu wa Yemen wameandamana katika mji mkuu, Sana'a kulaani Umoja wa Mataifa kwa kupuuza jinai za kivita za Saudi Arabia dhidi ya nchi yao.
-
Maafisa wawili wa usalama wa Saudia wauawa mjini Dammam
Oct 25, 2016 12:52Watu wasiojulikana wamewapiga risasi na kuwaua maafisa wawili wa usalama katika mji wa Dammam mashariki mwa Saudi Arabia.
-
UN: Saudia ilikiuka sheria za kimataifa kwa kushambulia waombolezaji Yemen
Oct 21, 2016 03:59Wasimamizi wa vikwazo vya kimataifa wa Umoja wa Mataifa wamesema kuwa jeshi la Saudi Arabia lilikiuka sheria kwa kushambulia kikao cha waombolezaji nchini Yemen.
-
Marekani, Saudia, Israel ni waungaji mkono wa magaidi wa Daesh
Oct 17, 2016 23:40Kamanda wa ngazi za juu wa jeshi nchini Syria amesema, kuna ushahidi wa kutosha kuwa Marekani, Saudi Arabia na Israel ni waungaji mkono wakuu wa magaidi wa ISIS (Daesh) huko Syria na Iraq.