-
Wasiwasi wa taathira hasi za kuasisiwa na Saudi Arabia Chuo Kikuu huko Afghanistan
Oct 17, 2016 04:30Mpango wa serikali ya Saudi Arabia wa kujenga Chuo Kikuu cha Kiislamu katika mkoa wa Nangarhar huko Afghanistan umezua wasiwasi kuhusiana na jambo hilo.
-
Taathira ya udiplomasia hasi wa Saudia kuhusiana na Iraq
Oct 17, 2016 00:55Kamati ya mahusiano ya bunge nchini Iraq imeitaka Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya nchi hiyo kupinga kuteuliwa na Saudia, Abdulaziz al-Shammari kuwa balozi mdogo mahala pa Thamer al-Sabhan, balozi wa nchi hiyo aliyetimuliwa na Baghdad hivi karibuni.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 8 na sauti
Oct 16, 2016 09:13Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine na hii ikiwa ni sehemu ya nane ya mfululizo huo.
-
Saudia yakiri kuwa ndiyo iliyofanya mauaji ya umati Sana'a Yemen
Oct 15, 2016 12:24Saudi Arabia imekiri kuwa ndiyo iliyofanya mashambulizi katika ukumbi ambao ulikuwa umekusanyika mamia ya watu kwa ajili ya maziko kusini mwa Sana'a, mji mkuu wa Yemen Jumamosi iliyopita.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 7 na sauti
Oct 15, 2016 06:12Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine na hii ikiwa ni sehemu ya saba ya mfululizo huo.
-
Mbunge: Uwezekano wa Misri kukata uhusiano na Saudia ni mkubwa
Oct 15, 2016 04:50Mbunge mmoja nchini Misri ameonya kuwa uwezekano wa Cairo kukata uhusiano wake na Saudi Arabia ni mkubwa sana na kusisitiza kuwa iwapo nchi mbili hizo zitakata uhusiano wao, itakuwa ni kwa manufaa na maslahi ya Ulimwengu wa Kiarabu.
-
Iran yaonya juu ya kuendelea kuuziwa silaha Saudia, Israel
Oct 15, 2016 04:43Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu kuendelea kuuziwa silaha utawala wa kifalme wa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa hatua hiyo itakuwa na maafa makubwa katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Jumamosi, 15 Oktoba, 2016
Oct 15, 2016 00:47Leo ni Jumamosi tarehe 13 Mfunguo Nne Muharram 1438 Hijria sawa na tarehe 15 Oktoba mwaka 2016 Miladia.
-
Uhusiano wa Saudia na Iraq washuka hadi kiwango cha balozi mdogo
Oct 15, 2016 00:25Baada ya serikali ya Iraq kuishinikiza Saudi Arabia imfukuze balozi wake mjini Baghdad kutokana na kuingilia masuala ya ndani ya Iraq, Riyadh imemrudisha nyumbani balozi wake huyo na kupeleka balozi mdogo kushika nafasi yake mjini Baghdad.
-
Usimamizi mzuri wa Iraq katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein AS
Oct 13, 2016 04:39Pamoja na kuwepo makundi hatari ya kigaidi katika maeneo mbali mbali, maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu, yalifanyika kwa mafanikio na usalama kamili nchini Iraq katika mji wa Karbala na kuhudhuriwa na mamilioni ya wafanya ziara.